-
Watu kadhaa wauawa, zaidi ya 60 wajeruhiwa katika mapigano ya silaha mjini Beirut, Lebanon
Oct 14, 2021 13:51Duru za habari nchini Lebanon zimeripoti kuwa mapigano makali yanendelea baina ya askari usalama na watu wasiojulikana katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut ambapo idadi ya waliojeruhiwa hadi sasa imepindukia watu 60.
-
Vikosi vya ulinzi vya Iraq vyadhibiti kikamilifu eneo la mpaka wa nchi hiyo na Syria
Oct 14, 2021 02:19Komandi ya Vikosi vya Gadi ya Mipakani ya Iraq imetangaza kuwa hivi sasa jeshi la nchi hiyo linalidhibiti kikamilifu eneo la mpaka wa Iraq na Syria.
-
Vyombo vya Kizayuni vyakiri kufeli Israel Ukanda wa Ghaza
Sep 11, 2021 01:30Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimekiri kushindwa Israel katika vita vya hivi karibuni vya Ukanda wa Ghaza na kusema kuwa, kiwango cha kufeli huko ni kikubwa sana.
-
Januari 31 yatangazwa kuwa siku ya mwisho ya askari wa Marekani kuwepo katika ardhi ya Iraq
Sep 10, 2021 12:50Kamandi Kuu ya operesheni za pamoja za jeshi la Iraq imetangaza tarehe ya mwisho kwa askari wa jeshi la Marekani kuwepo katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Shahram: Iran iko mstari wa mbele kustawisha amani, urafiki kimataifa
Sep 05, 2021 02:45Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Admeri Shahram Irani anasema Jamhuri ya Kiislamu iko mstari wa mbele katika kampeni ya kuanzisha na kukuza amani na urafiki wa kimataifa.
-
Hizbullah Iraq: Wanajeshi wa Marekani wanapaswa kuondoka kwenye ardhi ya Iraq, la sivyo watashambuliwa
Jul 24, 2021 11:55Afisa usalama wa Batalioni ya Hizbullah nchini Iraq ametangaza kuwa, iwapo wanajeshi wa Marekani hawataondoka nchini Iraq, makundi ya mapambano yataendelea kutekeleza mashambulizi dhidi ya wavamizi hao.
-
Wamarekani waendelea kuiba mafuta na maliasili ya Syria
Jul 04, 2021 02:36Wanajeshi vamizi na maharamia wa Marekani wanaendelea kuiba mafuta ya nchi ya Syria waliyoivamia kinyume cha sheria na kuhamisha nishati hiyo nje ya mipaka ya Syria kupitia kaskazini mwa Iraq.
-
Hamas: Israel imeshambulia tena Ghaza ili kunyanyua mori wa wanajeshi wake
Jun 18, 2021 12:31Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa, shambulio la jana la ndege za utawala wa Kizayuni dhidi ya kambi za muqawama katika Ukanda wa Ghaza ni chokochoko mpya za Israel zilizolenga kunyanyua mori wa wanajeshi wake waliopata kipigo katika mapigano ya hivi karibuni ya siku 12 ya Ukanda wa Ghaza maarufu kwa jina la vita vya "Upanga wa Quds."
-
Jeshi la Ufaransa lawataka wanajeshi walioandika barua ya kutokea mapinduzi wajiuzulu
May 12, 2021 11:08Mkuu wa Majeshi ya Ufaransa amewataka wanajeshi waliosaini barua inayotahadharisha kuhusu hatari ya kutokea vita vya ndani nchini humo wajiuzulu kutoka kwenye jeshi la nchi hiyo.
-
Jeshi la DRC laua wanamgambo 16 kaskazini mwa nchi
Mar 02, 2021 03:15Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetangaza habari ya kuua wanamgambo 16 katika makabiliano makali baina ya pande mbili hizo huko kaskazini mashariki mwa nchi.