-
Buhari: Jeshi litakabiliana vikali na hatua za kukwamisha uchaguzi ulioakhirishwa
Feb 19, 2019 04:23Rais Muhammadu Buhari ametahadharisha kuwa yoyote anayejaribu kuzuia uchaguzi wa rais ulioakhirishwa nchini humo anahatarisha maisha yake. Rais wa Nigeria ameituhumu pia Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo kwa kutofanya kazi kwa mujibu wa sheria.
-
Iran yazindua nyambizi mpya yenye makombora ya cruise
Feb 17, 2019 23:03Rais Hassan Rouhani wa Iran amezindua nyambizi ya kisasa iliyoundwa hapa nchini ambayo ina uwezo wa kusheheni makombora ya cruise.
-
Jeshi la Sudan: Hatutaruhusu nchi isambaratike kutokana na machafuko
Jan 31, 2019 11:25Jeshi la Sudan limesema kuwa halitaruhusu nchi isambaratike kufuatia maandamano ya nchi nzima yanayoendelea sasa huku Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo akitahadharisha juu ya kuwepo njama ya kuchochea hali ya mchafukoge nchini humo.
-
Maelfu ya wanajeshi wa Marekani waelekea katika mpaka wa Mexico
Jan 30, 2019 03:56Naibu Waziri wa Ulinzi wa Marekani amesema kuwa, maelfu ya wanajeshi wa nchi hiyo wameelekea katika mpaka wa Mexico kwa lengo la kile kilichotajwa kuwa ni kurejesha hali ya usalama katika eneo hilo.
-
Admeri Sayyari: Mfumo wa kijeshi wa Iran ni wa kujihami na kutegemea uwezo wa kuzuia hujuma dhidi yake
Jan 27, 2019 04:31Mkuu wa uratibu wa jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, mfumo wa kijeshi wa Iran ni wa kujihami na unaotegemea uwezo wa kuzuia hujuma dhidi yake na akaongezea kwa kusema, zana zote za kijeshi na kiulinzi za vikosi vya ulinzi zinatengezwa humu humu nchini.
-
Israel yakiri kuwapa msaada wa silaha wapinzani wa serikali ya Syria
Jan 16, 2019 00:58Mkuu wa Majeshi ya Utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa utawala huo umekuwa ikiwapa silaha wapinzani wa serikali ya Syria.
-
Zimbabwe yatumia wanajeshi kuzima maandamano, kadhaa wauawa
Jan 15, 2019 11:08Watu wasiopungua watano wameuawa na maafisa usalama huku maandamano ya kupinga ongezeko la bei ya mafuta kwa asilimia 150 nchini Zimbabwe yakishtadi.
-
Jeshi la Sudan latangaza uungaji mkono kwa al Bashir, vyama vya upinzani vyajiunga na maandamano ya wananchi
Dec 24, 2018 23:29jeshi la Sudan limetangaza uungaji mkono wake kwa kiongozi anayezongwa na matatizo mengi ya kisiasa na kiuchumi wa nchi hiyo baada ya kushadidi maandamano ya wananchi wanaopinga hali mbaya ya uchumi. Waandamanaji hao pia wametoa wito wa kuondolewa madarakani serikali ya sasa ya Khartoum.
-
Mshauri wa Bashar al-Assad: Wamarekani wamekimbia Syria
Dec 23, 2018 23:20Mshauri wa kisiasa na wa masuala ya habari wa Rais wa Syria amesema kuhusu hatua ya wanajeshi wa Marekani kuondoka nchini humo kwamba: Wamarekani wamekimbia, kwa sababu sisi tumesimama imara.
-
Hizbullah Iraq: Kuondoka Marekani syria ni ishara ya kushindwa Washington
Dec 22, 2018 21:39Harakati ya Hizbullah ya Iraq imetangaza kuwa, kuondoka kwa majeshi ya Marekani nchini Syria kuna maana ya kushindwa stratijia za jeshi la nchi hiyo.