Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

jeshi

  • Mtaalamu wa kisiasa: Marekani inasababisha machafuko Afghanistan

    Mtaalamu wa kisiasa: Marekani inasababisha machafuko Afghanistan

    Feb 16, 2018 01:04

    Mtaalamu wa masuala ya kisiasa wa nchini Afghanistan amesema kuwa, nchi za eneo hili haziwezi kuamini mipango ya Marekani nchini Afghanistan, hususan juu ya madai ya viongozi wa Washington kwamba wanapambana na ugaidi na madawa ya kulevya.

  • Kiongozi Muadhamu: Tarehe 22 Bahman ya mwaka huu itakuwa yenye kuvutia

    Kiongozi Muadhamu: Tarehe 22 Bahman ya mwaka huu itakuwa yenye kuvutia

    Feb 08, 2018 12:13

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amyataja masiku ya Mwenyezi Mungu na minasaba ya matukio muhimu ya mapinduzi ya Kiislamu kuwa ni ishara ya uimara na uthabiti wa mfumo, na kusisitiza kwamba, mwaka huu na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu, tarehe 22 Bahman ya mwaka huu itakuwa yenye kuvutia.

  • Amnesty: Makumi ya raia wameuawa katika mashambulizi ya anga ya jeshi la Nigeria

    Amnesty: Makumi ya raia wameuawa katika mashambulizi ya anga ya jeshi la Nigeria

    Jan 30, 2018 13:08

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelituhumu jeshi la Nigeria kuwa limeua makumi ya raia katika mashambulizi ya anga ya mwezi uliopita jimboni Adamawa.

  • Iran yafanyia majaribio kombora la Cruise la Qadir la Jeshi la Majini

    Iran yafanyia majaribio kombora la Cruise la Qadir la Jeshi la Majini

    Jan 24, 2018 01:07

    Katika siku ya pilia ya mazoezi makubwa ya kijeshi yaliyopewa jina la Muhammad Rasulullah SAW-5, Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limefanyia majaribio yaliyofana kombora la la Cruise lijulikanalo kwa jina la Qadir ambalo limelenga shabaha adui bandia katika Bahari ya Oman.

  • Iran yaanza mazoezi ya kijeshi yaliyopewa jina la Muhammad Rasulullah SAW

    Iran yaanza mazoezi ya kijeshi yaliyopewa jina la Muhammad Rasulullah SAW

    Jan 21, 2018 23:35

    Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo linaanza mazoezi makubwa ya kijeshi ya pamoja yaliyopewa jina la Muhammad Rasulullah SAW-5 katika maeneo ya oparesheni ya kusini na kusini mashariki na pia katika pwani ya Bahari ya Makran na Bahari ya Oman hadi Daraja 15 kaskazini mwa Ikweta.

  • Jeshi la Ivory Coast latangaza utayari wa kushirikiana na serikali

    Jeshi la Ivory Coast latangaza utayari wa kushirikiana na serikali

    Jan 05, 2018 04:31

    Mkuu wa majeshi ya Ivory Coast ametangaza utayari wa jeshi hilo wa kushirikiana na serikali ya nchi hiyo.

  • Kufanyiwa mabadiliko muundo wa jeshi la Jordan

    Kufanyiwa mabadiliko muundo wa jeshi la Jordan

    Dec 29, 2017 04:14

    Mfalme Abdallahwa wa Pili wa Jordan amewastaafisha cheo cha ukamanda wa jeshi kaka zake wawili na binamu yake katika hatua ya aina yake kuwahi kuchukuliwa nchini humo.

  • Sisitizo latolewa la kuundwa jeshi la kimataifa la kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Sisitizo latolewa la kuundwa jeshi la kimataifa la kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Dec 21, 2017 12:46

    Mshauri wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitizia udharura wa kuundwa jeshi la kimataifa la kukabiliana na vitisho vya utawala wa Kizayuni wa Israel na kuongeza kwamba lengo la kuundwa jeshi hilo ni kurejesha haki za wananchi wa Palestina.

  • Marekani yaunda kundi jipya la waasi Syria

    Marekani yaunda kundi jipya la waasi Syria

    Dec 16, 2017 12:11

    Kituo cha Mapatano cha Russia nchini Syria kimetangaza kuwa, Marekani imeanzisha kundi jipya la waasi lililopewa jina la Jeshi Jipya la Syria katika kambi ya wakimbizi iliyoko mkoani Hasaka huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Amiri Jeshi Mkuu: Vikosi vya Majini viendeleze harakati yake ya mwendo wa kasi

    Amiri Jeshi Mkuu: Vikosi vya Majini viendeleze harakati yake ya mwendo wa kasi

    Nov 28, 2017 13:17

    Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Iran amesema tarehe 7 Azar (28 Novemba) ambayo ni siku ya Jeshi la Majini ni siku ya fahari na heshima, na siku ya kuenzi kujitolea mhanga kwa jeshi hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS