-
Jeshi la Chad lapambana na magaidi wa Boko Haram
Mar 24, 2018 21:51Duru za kijeshi za Chad zimetangaza habari ya kutokea mapigano kati ya jeshi la nchi hiyo na magaidi wa Boko Haram katika eneo la Ziwa Chad.
-
Israel: Tumepoteza uwezo wetu mkubwa mbele ya harakati ya Hizbullah na Hamas
Mar 03, 2018 01:38Kamanda wa vikosi vya ardhini vya utawala haramu wa lsrael amekiri kwamba, jeshi la utawala huo limepoteza uwezo wake mkubwa mkabala wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon na Harakati ya muqawama wa Palestina HAMAS.
-
Mtaalamu wa kisiasa: Marekani inasababisha machafuko Afghanistan
Feb 16, 2018 01:04Mtaalamu wa masuala ya kisiasa wa nchini Afghanistan amesema kuwa, nchi za eneo hili haziwezi kuamini mipango ya Marekani nchini Afghanistan, hususan juu ya madai ya viongozi wa Washington kwamba wanapambana na ugaidi na madawa ya kulevya.
-
Kiongozi Muadhamu: Tarehe 22 Bahman ya mwaka huu itakuwa yenye kuvutia
Feb 08, 2018 12:13Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amyataja masiku ya Mwenyezi Mungu na minasaba ya matukio muhimu ya mapinduzi ya Kiislamu kuwa ni ishara ya uimara na uthabiti wa mfumo, na kusisitiza kwamba, mwaka huu na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu, tarehe 22 Bahman ya mwaka huu itakuwa yenye kuvutia.
-
Amnesty: Makumi ya raia wameuawa katika mashambulizi ya anga ya jeshi la Nigeria
Jan 30, 2018 13:08Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelituhumu jeshi la Nigeria kuwa limeua makumi ya raia katika mashambulizi ya anga ya mwezi uliopita jimboni Adamawa.
-
Iran yafanyia majaribio kombora la Cruise la Qadir la Jeshi la Majini
Jan 24, 2018 01:07Katika siku ya pilia ya mazoezi makubwa ya kijeshi yaliyopewa jina la Muhammad Rasulullah SAW-5, Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limefanyia majaribio yaliyofana kombora la la Cruise lijulikanalo kwa jina la Qadir ambalo limelenga shabaha adui bandia katika Bahari ya Oman.
-
Iran yaanza mazoezi ya kijeshi yaliyopewa jina la Muhammad Rasulullah SAW
Jan 21, 2018 23:35Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo linaanza mazoezi makubwa ya kijeshi ya pamoja yaliyopewa jina la Muhammad Rasulullah SAW-5 katika maeneo ya oparesheni ya kusini na kusini mashariki na pia katika pwani ya Bahari ya Makran na Bahari ya Oman hadi Daraja 15 kaskazini mwa Ikweta.
-
Jeshi la Ivory Coast latangaza utayari wa kushirikiana na serikali
Jan 05, 2018 04:31Mkuu wa majeshi ya Ivory Coast ametangaza utayari wa jeshi hilo wa kushirikiana na serikali ya nchi hiyo.
-
Kufanyiwa mabadiliko muundo wa jeshi la Jordan
Dec 29, 2017 04:14Mfalme Abdallahwa wa Pili wa Jordan amewastaafisha cheo cha ukamanda wa jeshi kaka zake wawili na binamu yake katika hatua ya aina yake kuwahi kuchukuliwa nchini humo.
-
Sisitizo latolewa la kuundwa jeshi la kimataifa la kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 21, 2017 12:46Mshauri wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitizia udharura wa kuundwa jeshi la kimataifa la kukabiliana na vitisho vya utawala wa Kizayuni wa Israel na kuongeza kwamba lengo la kuundwa jeshi hilo ni kurejesha haki za wananchi wa Palestina.