Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

jeshi

  • Kamanda wa zamani al-Shabaab ajiunga na serikali ya Somalia

    Kamanda wa zamani al-Shabaab ajiunga na serikali ya Somalia

    Aug 13, 2017 23:06

    Aliyekuwa Naibu Kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab na pia msemaji wa zamani wa genge hilo la ukufurishaji Mukhtar Robow Abu Mansur, amejisalimisha kwa jeshi la nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • Rouhani: Hakuna anayeweza kuthubutu kulidhuru jeshi la Iran

    Rouhani: Hakuna anayeweza kuthubutu kulidhuru jeshi la Iran

    Jul 30, 2017 23:59

    Rais Hassan Rouhani amesema mihimili mitatu ya serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaviunga mkono kwa dhati vikosi vya jeshi la Iran na kwa msingi huo hakuna anayeweza kulidhuru jeshi hilo wala Iran.

  • UN yawatuhumu wanajeshi wa DRC kuhusika na mauaji ya Kasai

    UN yawatuhumu wanajeshi wa DRC kuhusika na mauaji ya Kasai

    Jul 26, 2017 03:15

    Umoja wa Mataifa umelituhumu kwa njia isiyo ya moja kwa moja jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuwa limehusika na mauaji ya umati katika eneo la Kasai.

  • Jeshi la Misri laangamiza magaidi 40 katika eneo la Sinai

    Jeshi la Misri laangamiza magaidi 40 katika eneo la Sinai

    Jul 26, 2017 03:13

    Jeshi la Misri limefanikiwa kuangamiza makumi ya wanachama wa magenge ya kigaidi, katika operesheni yake yenye lengo la kuwafuta kabisa magaidi wenye misimamo mikali ambao wanaendeleza harakati zao katika Rasi ya Sinai, kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Eneo muhimu ya Kipese DRC lakombolewa na jeshi kutoka mikoni mwa waasi

    Eneo muhimu ya Kipese DRC lakombolewa na jeshi kutoka mikoni mwa waasi

    Jul 16, 2017 23:52

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limetangaza kuwa, eneo la kiistratejia la Kipese lililokuwa chini ya udhibiti wa wanamgambo wanaobeba silaha limekombolewa la jeshi la nchi hiyo.

  • Alkhamisi Julai 13, 2017

    Alkhamisi Julai 13, 2017

    Jul 12, 2017 22:08

    Alkhamisi tarehe 18 Shawwal 1438 Hijria, sawa na Julai 13, 2017.

  • Hatimaye jeshi la Syria laingia mkoa wa Deir Ezzor baada ya miaka kadhaa

    Hatimaye jeshi la Syria laingia mkoa wa Deir Ezzor baada ya miaka kadhaa

    Jun 24, 2017 23:11

    Askari wa kikosi cha nchi kavu cha Syria wameweza kuingia mkoa wa Deir Ezzor, mashariki mwa nchi hiyo sambamba na kudhibiti maeneo yake tofauti.

  • Meli za Kivita za Iran kuelekea Bahari ya Hindi kulinda doria

    Meli za Kivita za Iran kuelekea Bahari ya Hindi kulinda doria

    May 28, 2017 09:14

    Msafara wa meli za kivita za Iran zinatazamiwa kuelekea katika Bahari ya Hindi mwezi ujao kulinda doria na kusindikiza meli za mafuta na za kibiashara za Iran.

  • Myanmar yapinga ripoti ya UN kuhusu jinai zake dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Myanmar yapinga ripoti ya UN kuhusu jinai zake dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    May 23, 2017 03:15

    Jeshi la Myanmar limekanusha ripoti ya uchunguzi wa Umoja wa Mataifa iliyosema kuwa viongozi wa serikali wanabeba dhima ya jinai zilizotendwa na jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya.

  • Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti

    Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti

    May 23, 2017 02:24

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tano ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS