-
11 wauawa katika makabiliano baina ya jeshi la Nigeria na Boko Haram
Feb 17, 2017 10:57Kwa akali watu 11 wameuawa katika makabiliano kati ya vikosi vya serikali na wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram mapema leo katika mji wa Maiduguri, kaskazini mashariki mwa nchi mwa Nigeria.
-
UN: 100 wauawa katika mapigano kati ya jeshi na waasi DRC
Feb 14, 2017 11:09Umoja wa Mataifa umesema jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeua makumi ya watu katika makabiliano na kundi la waasi kati ya Februari 9 na 13.
-
Jeshi la majini la Iran lawatimua maharamia wa Somalia
Feb 13, 2017 11:48Maharamu kutoka Somalia waliojaribu kuteka nyara meli ya mizigo ya Iran wametimuliwa na manwoari za Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Jeshi la Iran lasisitiza udharura wa kulindwa lango la Bab El Mandab
Feb 13, 2017 04:49Kamanda wa Jeshi la Majini la Iran amesema kuwa suala linalopewa umuhimu zaidi na jeshi hilo kwa sasa ni kulinda usalama wa Ghuba ya Aden, Bahari Nyekundu na lango bahari la Bab El Mandab.
-
Naibu Mkuu wa Majeshi Sudan Kusini ajiuzulu kulalamikia ubakaji na udhalilishaji raia
Feb 12, 2017 12:48Naibu Mkuu wa Majeshi ya Sudan Kusini anayehusika na masuala ya kilojistiki Luteni Jenerali Thomas Cirillo Swaka amejiuzulu kulalamikia vitendo vya unyanyasaji vikiwemo vya udhalilishaji wa kingono unaofanywa na vikosi vya usalama dhidi ya raia na kile alichokiita kuongezeka upendeleo wa kikabila jeshini.
-
Jeshi la Iran: Marekani ilitaka kutushambulia 1991, 2001 bila mafanikio
Jan 30, 2017 01:08Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, serikali ya Marekani ilitaka kuivamia nchi hii mwaka 1991 na 2001, lakini ikashindwa kutokana na kuwa macho na uwezo wa kujihami taifa hili.
-
Watu 37 wauawa katika shambulizi la bomu kaskazini mwa Mali
Jan 18, 2017 13:09Makumi ya watu wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika shambulizi la bomu karibu na kambi ya jeshi kaskazini mwa Mali leo Jumatano.
-
Raia mia moja wauawa katika shambulizi la Jeshi la Anga la Nigeria
Jan 18, 2017 01:19Makumi ya watu wameuawa katika shambulizi lililofanywa na ndege za kivita za Nigeria dhidi ya kambi moja ya wakimbizi kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Iraq: Tumekomboa 90% ya mashariki mwa mji wa Mosul kutoka Daesh
Jan 17, 2017 03:38Kamanda mwandamizi wa Kitengo cha Kupambana na Ugaidi cha Jeshi la Iraq (CTS) amesema askari wa nchi hiyo wamefanikiwa kukomboa karibu asilimia 90 ya eneo la mashariki mwa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa genge la kigaidi la Daesh.
-
Malengo ya Uturuki ya kuendelea kukiuka haki ya kujitawala Iraq
Jan 16, 2017 00:22Licha ya malalamiko ya kila mara na mashitaka ya serikali ya Iraq katika asasi za kieneo na kimataifa, bado Uturuki imekataa kuondoa askari wake kutoka kambi ya kijeshi ya Bashiqa.