-
Kiongozi Muadhamu: Mashahidi Walinzi wa Haram ni fahari kwa taifa zima
Jan 05, 2017 12:40Familia za makomandoo saba wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu la Iran waliouawa shahidi kwa ajili ya kulinda Haram ya Bibi Zainab (SA) iliyoko nchini Syria leo zilimtembelea Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
-
Jeshi la Gambia latangaza kumuunga mkono Rais Yahya Jammeh
Jan 05, 2017 01:22Kamanda wa Jeshi la Gambia ametoa ujumbe akitangaza uungaji mkono kamili wa jeshi la nchi hiyo kwa Rais Yahya Jammeh ambaye amekataa kukabidhi madaraka ya nchi kwa njia ya amani baada ya kushindwa katika uchaguzi wa rais uliofanyika nchini humo mwezi uliopita.
-
Magaidi 76 wa Daesh waangamizwa katika mji wa Mosul, Iraq
Jan 03, 2017 10:21Vyombo vya usalama nchini Iraq vimetangaza habari ya kuuawa makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul ulioko kaskazini mwa nchi.
-
Watoto 17,000 watumika kama askari Sudan Kusini
Dec 17, 2016 04:31Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limesema kuna watoto elfu 17 wanaotumiwa kama askari wa makundi ya wapinzani nchini Sudan Kusini.
-
Amnesty: Jeshi la Nigeria limeua wanaharakati 150 wa Biafra
Nov 24, 2016 10:10Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema wanaharakati wapatao 150 wa vuguvugu linaloshinikiza kujitenga jimbo la Biafra wameuawa na jeshi la Nigeria katika kipindi cha mwaka mmoja.
-
Kaburi la umati lagunduliwa karibu na Mosul nchini Iraq
Nov 08, 2016 04:15Vikosi vya serikali ya Iraq vimegundua kaburi la umati karibu na mji wa Mosul ambao kwa sasa unashuhudia makabiliano makali kati ya vikosi hivyo na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh/ISIS.
-
Askari 14 wa Nigeria wauawa na Boko Haram
Nov 06, 2016 04:12Kwa akali askari 14 wa jeshi la Nigeria wameuawa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika jimbo la Borno.
-
Hashdu Shaabi: Hatuhitajii Marekani katika operesheni ya Mosul
Nov 02, 2016 11:10Kikosi cha kujitolewa cha Hashdu Shaabi kinachoshirikiana na jeshi la Iraq katika operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul toka mikononi mwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh kimesema vikosi hivyo havihitajii muungano wa kijeshi wa Marekani katika mapambano hayo.
-
Iran yafanya mazoezi makubwa ya jeshi la anga
Oct 17, 2016 12:10Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limeanzisha mazoezi makubwa yanayojumuisha ndege aina mbali mbali za kivita katika eneo la Anarak, Isfahan, kati mwa Iran.
-
Waasi wa FLEC wadai kuua askari 18 wa jeshi la Angola
Oct 01, 2016 04:28Waasi wa kundi linalopigania kujitenga eneo la Cabinda nchini Angola (FLEC) wamedai kwamba wameua askari 18 wa nchi hiyo.