Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

jeshi

  • Kiongozi Muadhamu: Majeshi ya Iran yawe tayari kukabiliana na adui

    Kiongozi Muadhamu: Majeshi ya Iran yawe tayari kukabiliana na adui

    Sep 28, 2016 10:26

    Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuhusu ulazima wa majeshi nchini kujiimarisha kiitikadi, kielimu na kinidhamu sambamba na kuwapa wanajeshi vijana uzoefu wa zama za Kujihami Kutakatifu.

  • Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu kuimarishwa uwezo wa kujihami na kushambulia

    Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu kuimarishwa uwezo wa kujihami na kushambulia

    Sep 01, 2016 03:20

    Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Iran siku ya Jumatano alisisitiza ulazima wa nchi hii kujiimarisha katika sekta za kujihami na kumshambulia adui.

  • Jeshi la Iraq limeangamiza Madaesh 700 katika kisiwa cha Khalidiya

    Jeshi la Iraq limeangamiza Madaesh 700 katika kisiwa cha Khalidiya

    Aug 18, 2016 22:21

    Jeshi la Iraq limetangaza kuwa limefanikiwa kuangamiza mamia ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika operesheni ya kukomboa kisiwa cha Khalidiya, kilichopo mashariki mwa mji wa Ramadi, magharibi mwa mkoa wa Anbar.

  • Watu 5 wauawa katika mapigano Mali, askari 5 watoweka

    Watu 5 wauawa katika mapigano Mali, askari 5 watoweka

    Aug 09, 2016 23:08

    Kwa akali watu watano wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mapigano makali yaliyojiri kati kati ya Mali, huku duru za kiusalama zikiarifu kuwa askari watano wa serikali wametoweka baada ya kujiri mapigano hayo.

  • Jeshi la Yemen laangamiza mamluki 52 wa Saudia

    Jeshi la Yemen laangamiza mamluki 52 wa Saudia

    Aug 07, 2016 09:16

    Jeshi la Yemen limefanikiwa kuangamiza makumi ya mamluki wa Saudi Arabia mashariki mwa mji mkuu Sanaa.

  • Makabiliano kati ya jeshi na wabeba silaha Nigeria yaua 19

    Makabiliano kati ya jeshi na wabeba silaha Nigeria yaua 19

    Aug 07, 2016 08:43

    Watu 19 wameuawa katika makabiliano makali kati ya askari wa jeshi la serikali na kundi la wabeba silaha katika jimbo la Niger nchini Nigeria.

  • Waasi wa FLEC wadai kuua askari 17 wa jeshi la Angola

    Waasi wa FLEC wadai kuua askari 17 wa jeshi la Angola

    Aug 02, 2016 03:27

    Waasi wa kundi linalopigania kujitenga eneo la Cabinda nchini Angola FLEC wamedai kwamba wameua askari 17 wa nchi hiyo katika makabiliano makali yaliyojiri mwishoni mwa wiki iliyomalizika.

  • Ripoti: Askari walioua Waislamu Nigeria washtakiwe

    Ripoti: Askari walioua Waislamu Nigeria washtakiwe

    Aug 02, 2016 03:00

    Jopo la uchunguzi lililotwika jukumu la kuchunguza mauaji ya Waislamu kaskazini mwa Nigeria limekiri kuwa jeshi la nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika liliuawa Waislamu zaidi ya 300 katika mji wa Zaria jimbo la Kaduna.

  • Askri kadhaa wa Libya wauawa katika mapigano mapya Sirte

    Askri kadhaa wa Libya wauawa katika mapigano mapya Sirte

    Jul 30, 2016 03:33

    Mapigano mapya baina ya askari wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya na genge la kigaidi la Daesh yamesababisha mauaji ya askari watano wa serikali katika mji wa Sirte, kaskazini mwa nchi hiyo.

  • 39 wauawa na kujeruhiwa katika hujuma dhidi ya kambi ya jeshi Mali

    39 wauawa na kujeruhiwa katika hujuma dhidi ya kambi ya jeshi Mali

    Jul 20, 2016 03:01

    Askari 12 wa jeshi la Mali wameuawa katika shambulizi lililotekelezwa na waasi mapema jana katikati mwa nchi hiyo ya Magharibi mwa Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS