-
Amoli Larijani: Uislamu hauna uhusiano na ugaidi
Jul 18, 2016 09:30Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran amesema Uislamu hauna uhusiano na ugaidi na kuongeza kuwa kile kinachodaiwa kuwa ni 'Ugaidi wa Kiislamu' ni fikra ya Wamagharibi ambao wanaunga mkono kundi la kigaidi la ISIS au Daesh na makundi mengine ya wakufurishaji.
-
Zimbabwe imeshindwa kulilipa jeshi kwa mwezi wa pili mfululizo
Jul 16, 2016 00:02Zimbabwe imeshindwa kulipa mishahara ya jeshi la nchi hiyo kwa wakati kwa mwezi wa pili mfululizo sasa.
-
Jaribio la Mapinduzi ya Kijeshi Uturuki, Rais Erdogan Aapa kuwaadhibu wahusika
Jul 15, 2016 23:23Kumejiri jaribio la mapinduzi ya kijeshi nchini Uturuki Ijumaa usiku huku watu 42 wakiripotiwa kupoteza maisha katika mji mkuu Ankara na Rais ReccepTayyib Erdogan akisema jaribio hilo limeshindwa.
-
Wanajeshi 115 wauawa katika mapigano Juba, Sudan Kusini
Jul 09, 2016 10:26Wanajeshi wasiopungua 115 wameuawa Sudan Kusini katika mapignao baina ya mirengo hasimu serikalini katika mji mjuu Juba.
-
Jeshi la Kenya laua wanachama 4 wa al-Shabaab, Lamu
Jun 29, 2016 23:04Askari wa Kenya wamewaangamiza wanamgambo wanne wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika kaunti ya Lamu.
-
Makumi wauawa katika mapigano kati ya jeshi na waasi Sudan Kusini
Jun 29, 2016 08:53Makumi ya watu wameuawa katika wimbi jipya la mapigano kati ya askari wa jeshi la serikali na waasi katika mji wa Wau nchini Sudan Kusini.
-
Wanajeshi kadhaa DRC wakamatwa mkoani Ituri
Jun 13, 2016 02:38Wanajeshi kadhaa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC) wametiwa mbaroni katika mkoa wa Ituri kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Libya yapinga uingiliaji kijeshi wa madola ya kigeni
Jun 05, 2016 03:03Waziri Mkuu wa Libya amepinga uingiliaji wa kijeshi nchini humo ambao umekuwa ukipangwa na baadhi ya madola kwa kisingizio cha kupambana na magaidi wa ISIS nchini humo.
-
Meli ya Kivita ya Uingereza yaelekea Libya kuzuia wahamiaji
May 27, 2016 02:48Uingereza imetangaza kuwa itatuma meli ya kivita nchini Libya kuzuia wahamiaji wa kigeni ambao wanatumia pwani ya nchi hiyo kuvuka Bahari ya Mediterranean na kuiniga Ulaya kinyume cha sheria.
-
Kituo cha upekuzi cha jeshi la Mali chashambuliwa na watu wasiojulikana
May 23, 2016 02:46Duru za kijeshi za Mali zimetangaza habari ya kushambuliwa kituo kimoja cha upekuzi cha jeshi la nchi hiyo na watu wenye silaha.