-
Uwezo wa Jeshi la Iran ni sababu ya maadu kutoihujumu nchi hii
May 21, 2016 23:52Brigedia Jenerali Ahmad Reza Pourdastan, Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwepo tayari kivita jeshi la nchi hii ni sababu kuu inayowazuia maadui kuitishia Iran.
-
Iran kuendelea na mazoezi ya kijeshi
May 08, 2016 00:15Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Hussein Dehqan amesema Jamhuri ya Kiislamu haioni kizingiti chochote katika kufanya mazoezi ndani ya maji yake katika Ghuba ya Uajemi.
-
Wanajeshi wa Marekani wavamia kusini mwa Yemen
May 02, 2016 23:27Ripoti zinasema kuwa, wanajeshi wa kikosi maalumu cha Marekani wamevamia eneo la Kusini mwa Yemen kwa kisingizio cha kuwasaidia wanajeshi wa Imarati katika kile kinachodaiwa ni vita dhidi ya wanamgambo wa al Qaeda katika eneo hilo.
-
Brigedia Jenerali Pordastan: Iran kuadhibu vikali wavamizi
Apr 22, 2016 00:07Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Iran amesema chokochoko zozote dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu zitapata jibu kali na kwamba vikosi vya ardhini vya Iran vitawaadhibu vikali wavamizi.
-
AMISOM yaomba msamaha kwa kuua raia wa Somalia
Apr 17, 2016 23:33Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM kimetoa taarifa rasmi ya kuomba msamaha kwa kuua 'kimakosa' raia wanne wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
'Jeshi la Iran liko imara kuilinda Jamhuri ya Kiislamu'
Apr 15, 2016 23:43Luteni Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Iran amesema kuwa, jeshi hilo liko imara katika kuyalinda Mapinduzi ya Kiislamu na mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Askari 500 wa Marekani walijiua mwaka jana
Apr 06, 2016 03:13Takaribani askari 500 wa Jeshi la Marekani walijiua mwaka jana na hivyo kuendeleza mkondo wa idadi kubwa ya wanajeshi wanaojiua nchini humo katika kipindi cha miaka saba iliyopita.
-
Kaburi la umati lagunduliwa Palmyra, nchini Syria
Apr 02, 2016 03:22Jeshi la Syria limegundua kaburi la umati ambalo lilikuwa limefukiwa makumi ya watu waliouawa na kundi la kigaidi na kitaifiri la Daesh katika mji uliokombolewa hivi karibuni wa Palmyra.
-
Matukio ya Yemen
Apr 01, 2016 12:24Jinai za muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia zimeendelea nchini Yemen kufuatia ndege za kivita za Saudia kushambulia maeneo ya makazi ya raia kusini mwa nchi hiyo.
-
Rais Assad alipongeza jeshi la Syria kwa kuukomboa mji wa Palmyra
Mar 27, 2016 10:04Rais Bashar al-Assad wa Syria amelipongeza jeshi la nchi hiyo kwa kuukomboa mji wa kihistoria wa Palmyra kutoka mikononi mwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.