-
Matukio ya Yemen
Apr 01, 2016 12:24Jinai za muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia zimeendelea nchini Yemen kufuatia ndege za kivita za Saudia kushambulia maeneo ya makazi ya raia kusini mwa nchi hiyo.
-
Rais Assad alipongeza jeshi la Syria kwa kuukomboa mji wa Palmyra
Mar 27, 2016 10:04Rais Bashar al-Assad wa Syria amelipongeza jeshi la nchi hiyo kwa kuukomboa mji wa kihistoria wa Palmyra kutoka mikononi mwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Jitihada za jeshi la Uganda za kutuliza hali ya mambo Bundibugyo
Mar 27, 2016 06:00Jeshi la polisi nchini Uganda limechukua hatua madhubuti za kurejesha hali ya usalama magharibi mwa nchi hiyo
-
Al-Shabaab: Tumeua wanajeshi 73 wa Somalia, Lower Shabelle
Mar 21, 2016 11:45Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limedai kuwaua askari 73 wa jeshi la taifa la Somalia, katika makabiliano makali yaliyotokea jana huko Shabelle ya Chini, yapata kilomita 60 kusini mwa mji mkuu, Mogadishu.
-
Jeshi la Kenya laua magaidi 34 wa al-Shabab Somalia-MPYA UPDATE 2
Mar 20, 2016 12:22Jeshi la Kenya limewaangamiza magaidi 21 wa kundi la kitakfiri la al Shabab kufuatia mapigano makali katika nchi jirani ya Somalia.
-
Sudan Kusini yaondoa majeshi yake katika mpaka na jirani yake Sudan
Mar 19, 2016 13:18Serikali ya Sudan Kusini imetangaza kuwa, imetekeleza amri ya kuondoa vikosi vyake vya jeshi katika mpaka wa nchi hiyo na jirani yake, Sudan.
-
Tunisia yaangamizi Madaesh wengine 5 karibu na mpaka na Libya
Mar 09, 2016 04:26Jeshi la Tunisia limesema kuwa limefanikiwa kuangamiza wanamgambo wengine watano wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh karibu na mpaka wa nchi hiyo na Libya.
-
Manowari za Jeshi la Iran zatia nanga bandari ya Dar es Salaam, Tanzania
Mar 01, 2016 12:16Manowari ndogo kadhaa za jeshi la wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zilizobeba ujumbe wa amani na urafiki zimetia nanga katika bandari ya mji mkuu wa Tanzania, Dar es Salaam.
-
Kukithiri vitendo vya ngono na ubadhirifu wa fedha katika jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel
Feb 29, 2016 22:07Mahakama ya Kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israekl imeafiki kutoleta taarifa zaidi kuhusiana na faili la vitendo vya ngono na ufisadi wa fedha katika jeshi la utawala huo ghasibu.
-
Jeshi la Nigeria laanzisha operesheni kali dhidi ya Boko Haram
Feb 26, 2016 04:18Jeshi la Nigeria limeanzisha operesheni kali dhidi ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la Boko Haram, ambayo ina lengo la kuwasambaratisha wanachama wa kundi hilo.