-
Iran: Mhimili wa muungano na uongozi katika ushirikiano wa kupambana na ugaidi katika jumuiya ya SCO
Dec 04, 2025 03:47Mazoezi maalumu ya kupambana na ugaidi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO), "Sahand 2025," yanafanyika katika Kaunti ya Shabestar, Mkoa wa Azerbaijan Mashariki, nchini Iran.
-
Nadharia ya ulimwengu wa kambi kadhaa; mwelekeo huu utaimarishwa katika Mkutano wa Shanghai?
Sep 01, 2025 02:35Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) unaohudhuriwa na viongozi kutoka zaidi ya nchi 20 ulianza jana Jumapili katika mji wa Tianjin wa China.
-
Tume ya Uchaguzi ya Cameroon yamzuia kugombea urais mshindani mkuu wa rais Biya
Jul 27, 2025 09:56Tume ya uchaguzi ya Cameroon, ELECAM, imetangaza kuwa mwanasiasa wa upinzani Maurice Kamto amezuiliwa kushiriki katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa urais wa Oktoba 12.
-
Kwa nini uwepo wa Araqchi katika Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai ni muhimu?
Jul 15, 2025 06:59Seyyed Abbas Araqchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameondoka Tehran kuelekea China akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa Tehran kwa ajili ya kuhudhuria kikao cha Mawaziri wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai.
-
Jumapili, 15 Juni, 2025
Jun 15, 2025 02:16Leo ni Jumapili 19 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1446 Hijria sawa na 15 Juni 2025 Miladia.
-
Rais wa China ayataka majeshi yajizatiti zaidi katika kujiweka tayari kwa vita
Oct 20, 2024 02:46Rais Xi Jinping wa China ametoa wito kwa majeshi ya nchi hiyo kujizatiti zaidi katika kujiweka tayari kwa vita, siku chache baada ya Beijing kufanya mazoezi makubwa ya kijeshi kuzunguka kisiwa chaTaiwan.
-
Iran yazitaka nchi za Shanghai kuwa jadi dhidi ya jinai za Israel na ugaidi wa kiuchumi wa Marekani
Oct 17, 2024 02:54Mkuu wa ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Mkutano wa Jumuiya ya ushirikiano ya Shanghai (SCO) huko Pakistan ameitaka jumuiya hiyo kuwa jadi na kuchukua hatua madhubuti dhidi ya chokochoko za utawala wa Kizayuni na ugaidi wa kiuchumi wa Marekani. Amezitaka nchi wanachama wa Shanghai kuchukua hatua za kivitendo ili kukabiliana na vikwazo vya kibiashara vya pande zote.
-
Jumamosi, 15 Juni, 2024
Jun 18, 2024 10:33Leo ni Jumamosi 8 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1445 Hijria mwafaka na 15 Juni 2024 Miladia.
-
Mahudhurio ya kwanza rasmi ya Iran katika kikao cha Baraza la Kupambana na Ugaidi la Shanghai; hatua muhimu ya ushirikiano wa kiusalama nje ya mipaka
Sep 10, 2023 07:56Kufuatia uanachama kamili wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai, ujumbe kutoka Iran umeshiriki kwa mara ya kwanza katika mkutano wa 40 wa Baraza la Muundo wa Kieneo wa Kupambana na Ugaidi la jumuiya hiyo.
-
Rais Raisi: Jumuiya ya Shanghai ina nafasi ya kipekee katika kustawisha mashirikiano
Jul 04, 2023 11:46Rais Ebrahim Raisi amesema Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai ina nafasi ya kipekee katika kustawisha mchakato wa kupanua mashirikiano ya kisiasa, kiusalama na kiuchumi.