-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (49)
Aug 30, 2022 06:41Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (48)
Aug 30, 2022 06:40Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale yanapokufikieni matangazo haya ya Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mwili wa Ayatullah Lotfollah Safi Golpaygani kuzikwa leo katika mji wa Karbala, Iraq
Feb 03, 2022 08:18Mwili mtakatifu wa mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu Ayatullah Safi Golpaygani umehamishiwa katika Msikiti wa Sheikh Tusi karibu na Haram ya Imam Ali bin Abi Twalib (AS) baada ya kuwasili katika mji mtakatifu wa Najaf.
-
Jumanne tarehe 17 Agosti 2021
Aug 17, 2021 02:32Leo ni Jumanne tarehe 8 Muharram 1443 Hijria sawa na Agosti 17 mwaka 2021.
-
Jumatatu tarehe 16 Agosti mwaka 2021
Aug 16, 2021 02:19Leo ni Jumatatu tarehe 7 Muharram 1443 Hijria sawa na Agosti 16 mwaka 2021.
-
Alkhamisi tarehe 12 Agosti 2021
Aug 12, 2021 02:24Leo ni tarehe Tatu Muharram 1443 Hijria sawa na Agosti 12 mwaka 2021.
-
Maafisa Usalama Iraq wazima jaribio la shambulizi la kigaidi Karbala
Mar 29, 2021 12:34Maafisa usalama wa Iraq wamezima jaribio la shambulizi la kigaidi lililolenga mjumuiko mkubwa wa wapenzi wa Watu wa Nyumba ya Mtume Muhammad (saw) uliokuwa njiani kutoka Najaf ukielekea katika mji mtakatifu wa Karbala kwa ajili ya sherehe za kuzaliwa Imam wa Zama na mwokozi aliyeahidiwa wa Akheri Zamani, Imam Mahdi (as).
-
Jumapili tarehe 30 Agosti mwaka 2020
Aug 29, 2020 23:51Leo ni Jumapili tarehe 10 Muharram mwaka 1442 Hijria sawa na Agosti 30 mwaka 2020.
-
Mamilioni washiriki maombolezo ya Tasua kwa kuchunga protokali za afya
Aug 29, 2020 08:02Licha ya janga la corona, na huku wakichunga protokali za afya, mamilioni ya Waislamu wa Iran na maeneo mengine ya dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 9 Mfunguo Nne Muharram wameshiriki katika vikao, majlisi na shughuli za maombolezo ya Tasua.
-
Jumanne, tarehe 25 Agosti, mwaka 2020
Aug 25, 2020 03:20Leo ni Jumanne tarehe 5 Muharram 1442 Hijria sawa na Agosti 25 mwaka 2020.