-
"Yesu wa Tongaren" afikishwa mahakamani nchini Kenya
May 12, 2023 05:18Raia wa Kenya aliyejitangaza kuwa ni Yesu na kuanzisha Kanisa la New Jerusalem eneo la Tongaren, Bungoma, alitarajiwa kurejeshwa mahakamani leo Ijumaa baada ya kulala kwenye seli ya polisi.
-
Mchungaji Paul Mackenzie na wenzake kubakia rumande kwa siku 30 Kenya
May 10, 2023 08:16Mhubiri tata wa Kikristo Paul Mackenzie anayekabiliwa na tuhuma za kuwashawishi wafuasi wake wafunga ili wawe wa kwanza kwenda mbinguni na kukutana na Yesu, Paul Mackenzie na mkewe Rhoda Maweu pamoja na washukiwa wengine 16 watazuiliwa kwa siku 30 gerezani.
-
Uchunguzi wa maiti katika mauaji tata ya Shakahola, Kenya waondoa uwezekano wa kuwepo uvunaji wa viungo
May 08, 2023 06:53Uchunguzi wa kidaktari uliofanyiwa miili 112 ya wahanga wa mauaji tata ya Shakahola iliyofukuliwa katika makaburi mbalimbali katika kaunti ya Kilifi katika eneo la Pwani Kenya umeondoa uwezekano juu ya uwepo wa uvunaji viungo katika miili ya wahanga hao.
-
Rais wa Kenya: Nitatumia mamlaka yangu kama Amiri Jeshi Mkuu kuzuia maandamano ya Azimio
Apr 30, 2023 22:19Rais William Ruto wa Kenya amesema, yuko tayari kutumia mamlaka aliyonayo kama Amiri Jeshi Mkuu kuzuia maandamano ya Muungano wa Azimio la Umoja yaliyopangwa kufanyika kesho Jumanne yakiongozwa na kiongozi wa upinzani Raila Odinga.
-
Maiti za waliofariki katika kanisa lenye misimamo mikali Kenya zakaribia 100
Apr 27, 2023 07:18Idadi ya waathirika wanaoaminika kufa na njaa kutokana na imani kali ya Kikristo nchini Kenya imeongezeka na kufikia 98 hadi kufikia leo mchana, huku familia zingine zikisubiri habari za wapendwa wao ambao ni wafuasi wa kanisa hilo na hadi sasa hawajulikani waliko.
-
Raila Odinga kuanza tena maandamano dhidi ya serikali ya Kenya
Apr 24, 2023 09:05Mrengo wa upinzani nchini Kenya umesema kuwa umepanga kuanza tena maandamano dhidi ya serikali kuanzia tarehe Pili mwezi ujao wa Mei; ikiwa zimepita karibu wiki tatu tangu usimamishe maandamano yake dhidi ya serikali ya Rais William Ruto ili kutoa fursa ya kushiriki kwenye mazungumzo na serikali.
-
Ugonjwa wa Typhoid kali wasababisha vifo vya watu 4 huko Kakamega, Kenya
Apr 16, 2023 07:54Ripoti kuhusu mmlipuko wa ugonjwa ambao hadi sasa umeua watu wanne katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mukumu katika Kaunti ya Kakamega huko Kenya inaashiria kisa cha homa ya matumbo iliyosababishwa na maji yaliyochafuliwa na baktera aina ya Salmonella Typhi.
-
Wabunge wa Kenya: Wanajeshi watenda jinai wa Uingereza wahukumiwe nchini
Apr 12, 2023 23:59Wanajeshi wa Jeshi la Uingereza wanaotoa mafunzo nchini Kenya wanaofanya mauaji nchini humo huenda wakakabiliwa na mashtaka katika mahakama za Kenya iwapo mapendekezo yaliyopendekezwa bungeni na Kamati ya Ulinzi na Mahusiano ya Kigeni yatapitishwa.
-
Wakenya wamtaka Rais Ruto, Raila wafanye muafaka wa kisiasa
Apr 10, 2023 02:17Rais William Ruto wa Kenya na kinara wa Azimio la Umoja, Raila Odinga, wako kwenye shinikizo la kubuni Serikali ya Umoja wa Kitaifa ili kurejesha utulivu wa kisiasa nchini Kenya.
-
Madaktari Kenya watahadharisha kuhusu aina mpya za magonjwa ya zinaa
Apr 03, 2023 06:22Madaktari wamewataka Wakenya kuwa na tahadhari baada ya kugunduliwa aina mbili mpya za magonjwa ya zinaa (STIs).