Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Iran yaipa Kenya msaada wa vifaa vya kupambana na Corona

    Iran yaipa Kenya msaada wa vifaa vya kupambana na Corona

    Apr 02, 2021 22:16

    Kenya imepokea msaada wa suhula za matibabu na vifaa vya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19 kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Serikali: Wakenya milioni 1.4 wanasumbuliwa na njaa

    Serikali: Wakenya milioni 1.4 wanasumbuliwa na njaa

    Apr 01, 2021 07:39

    Msemaji wa serikali ya Kenya amesema kwa akali Wakenya milioni moja na laki nne wanasumbuliwa na njaa.

  • UNHCR yaisihi Kenya ichukue uamuzi wa busara kuhusu hatima ya wakimbizi walioko nchini humo

    UNHCR yaisihi Kenya ichukue uamuzi wa busara kuhusu hatima ya wakimbizi walioko nchini humo

    Mar 25, 2021 22:25

    Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limeisihi serikali ya Kenya ihakikishe kwamba maamuzi yoyote itakayofanya kuhusu kambi za wakimbizi zilizoko nchini humo yanakuwa ni suluhu endelevu kwa wakimbizi hao.

  • Ijumaa tarehe 26 Machi 2021

    Ijumaa tarehe 26 Machi 2021

    Mar 25, 2021 22:24

    Leo ni Ijumaa tarehe 12 Shaabani 1442 Hijria sawa na 26 Machi 2021.

  • Naibu Rais wa Kenya, Ruto asema yuko tayari kukihama chama tawala na kujiunga na Raila au UDA

    Naibu Rais wa Kenya, Ruto asema yuko tayari kukihama chama tawala na kujiunga na Raila au UDA

    Mar 25, 2021 06:58

    Naibu Rais wa Kenya William Ruto amesema leo Alhamisi kwa mara ya kwanza kwamba yuko tayari kukihama chama tawala cha Jubilee na kujiunga na chama United Democratic Alliance (UDA) kwa ajili ya uchaguzi wa urais wa 2022.

  • Kenya yazindua kampeni ya kitaifa ya chanjo ya kupambana na corona

    Kenya yazindua kampeni ya kitaifa ya chanjo ya kupambana na corona

    Mar 05, 2021 08:54

    Kenya hii leo imezindua kampeni ya kitaifa ya chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19, huku Patrick Amoth, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Afya akiwa Mkenya wa kwanza kuchanjwa katika ardhi ya nchi hiyo.

  • "Unga mkono serikali au jiuzulu", Uhuru amwambia Naibu Rais William Ruto

    Feb 12, 2021 09:24

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya leo Ijumaa amemtaka Naibu Rais William Ruto ajiuzulu, akisema mtu hawezi "kutukana watu" wakati pia anajivunia mafanikio ya serikali.

  • Waislamu wa Kenya waijia juu serikali kwa kubomoa msikiti mkongwe wa miaka 83

    Waislamu wa Kenya waijia juu serikali kwa kubomoa msikiti mkongwe wa miaka 83

    Feb 08, 2021 08:52

    Viongozi na wanaharakati wa Kiislamu nchini Kenya wamekosoa vikali hatua ya serikali ya nchi hiyo kupitia Shirika la Reli kubomoa msikiti mkongwe wa miaka 83 katika kaunti ya Kisumu, magharibi mwa nchi.

  • Mmishonari wa Marekani afungwa miaka 15 kwa kunajisi mayatima Kenya

    Mmishonari wa Marekani afungwa miaka 15 kwa kunajisi mayatima Kenya

    Feb 05, 2021 08:15

    Raia wa Marekani ambaye alikuwa anafanya kazi kama mmishonari nchini Kenya amehukumiwa kifungo cha zaidi ya miaka 15 jela, baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi mabinti mayatima.

  • Iran na Kenya zasisitiza kupanuliwa ushirikiano kati ya mashirika ya teknolojia ya nchi mbili

    Iran na Kenya zasisitiza kupanuliwa ushirikiano kati ya mashirika ya teknolojia ya nchi mbili

    Jan 29, 2021 09:41

    Makamu wa Rais wa Iran anayeshughulikia masuala ya sayansi na teknolojia, Dakta Sorena Sattari amesisitiza kupanuliwa ushirikiano wa kiteknolojia kati ya mashirika ya Iran na Kenya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS