-
Magaidi wasambaratishwa Dusit Hotel, majeshi ya Kenya yapongezwa
Jan 16, 2019 12:47Baada ya Rais Uhuru Kenya wa Kenya kulihutubia Taifa na kutangaza kumalizika shambulizi la kigaidi na utekaji nyara uliodumu kwa muda wa masaa 19 katika Hoteli ya Dusit jijini Nairobi, viongozi mbalimbali wakiwemo wanasiasa wamejitokeza kuvipongeza vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo kwa kufanikiwa kuwasambaratisha magaidi hao.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi nchini Kenya
Jan 16, 2019 12:46Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma ya kigaidi iliyojiri katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi hiyo jana na kusababisha watu kadhaa kuuawa na wengine kujeruhiwa.
-
Watu kadhaa wauawa katika shambulizi la kigaidi Nairobi, Kenya
Jan 15, 2019 12:00Kwa akali watu watatu wamethibitishwa kuuawa huku wengine wengi wakijeruhiwa katika shambulizi la kigaidi, lililotokea katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi.
-
Chama cha Madaktari Kenya: Madaktari wa Cuba hawajafuzu
Jan 06, 2019 04:50Chama cha Madaktari nchini Kenya KMA kimetilia shaka uzoefu na uwezo wa kitaaluma wa madaktari wa Cuba walioenda nchini humo mwaka jana.
-
Balozi wa Iran Nairobi ataka kuboreshwa ushirikiano na nchi za Afrika Mashariki
Jan 04, 2019 04:16Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu nchini Kenya ametoa wito wa kutayarishwa mazingira mazuri zaidi ya kupelekwa huduma za kiufundi na kihandisi za Iran katika nchi za mashariki mwa Afrika.
-
Jeshi la Kenya laua magaidi 7 wa al-Shabaab Somalia
Jan 02, 2019 03:52Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) limetangaza kufanikiwa kuwaangamiza magaidi saba wa kundi la al-Shabaab na kuwajeruhi wengine kadhaa katika operesheni ya kusini mwa Somalia.
-
Rais Uhuru Kenyatta aongoza Wakenya katika maadhimisho ya Jamhuri Day + Sauti
Dec 12, 2018 13:27Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Jumatano ya leo amewaongoza Wakenya kuadhimisha miaka 55 ya uhuru wa nchi hiyo (Jamhuri Day) huku maelfu ya raia wakijitokeza katika viwanja mbalimbali nchini humo kuadhimisha siku hii. Saifullah Murtadha mwandishi wetu wa Mombasa ametuandalia ripoti ifuatayo.
-
Jumatano, 12 Disemba, 2018
Dec 11, 2018 21:39Leo ni Jumatano tarehe 4 Mfunguo Saba, Rabiuthani 1440 Hijria sawa na tarehe 12 Disemba, 2018.
-
Kenya yaorodheshwa kati ya nchi zisizochunga haki za binadamu kwa raia + Sauti
Dec 10, 2018 14:37Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeiorodhesha Kenya miongoni mwa mataifa ambayo hayajazingatia kikamilifu haki za raia wake duniani. Ripoti ya shirika hilo iliyozinduliwa leo Jumatatu imeiorodhesha Idara ya Polisi ya Kenya kuwa inaongoza katika ukiukaji wa haki hizo. Mwandishi wetu wa Kenya, Seifullah Murtadhaa anayo maelezo zaidi...
-
Rais wa Kenya atetea kumteua Moody Awori kuongoza bodi ya hazina ya vijana + Sauti
Dec 08, 2018 14:23Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametetea uamuzi wake wa kumteua Makamu wa Rais wa zamani wa nchi hiyo Moody Awori mwenye umri wa miaka 91 kuongoza bodi ya hazina ya vijana. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti ya mwandishi wetu wa Kenya, Seifullah Murtadha.