Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Ajali ya basi yaua 50 Kenya, kuna uwezekano idadi ikaongezeka

    Ajali ya basi yaua 50 Kenya, kuna uwezekano idadi ikaongezeka

    Oct 10, 2018 04:41

    Watu wasiopungua 50 wameaga dunia katika ajali ya basi iliyotokea mapema leo ikiwa njiani kuelekea Kisumu kutoka Nairobi.

  • Mazungumzo ya Makamu wa Rais wa Iran na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Kenya

    Mazungumzo ya Makamu wa Rais wa Iran na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Kenya

    Oct 04, 2018 10:49

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya elimu na teknolojia amekutana na kufanya mazungumzo mjini Nairobi na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Kenya na kusisitiza juu ya kustawishwa usafirishwaji nje bidhaa za teknolojia.

  • Deni la Taifa Kenya laongezeka, wataalamu waionya serikali ya Rais Kenyatta isipende sana fedha za mkopo

    Deni la Taifa Kenya laongezeka, wataalamu waionya serikali ya Rais Kenyatta isipende sana fedha za mkopo

    Sep 28, 2018 01:06

    Wataalamu wa masuala ya kiuchumi nchini Kenya wamekosoa mwenendo wa ongezeko la deni la taifa, huku wakimtaka Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo asipendelee kuchukua fedha za mkopo kwa kuwa zinalibebesha taifa mzigo mkubwa.

  • Wanachama 10 wa al-Shabaab wauawa na jeshi la Kenya, Lamu

    Wanachama 10 wa al-Shabaab wauawa na jeshi la Kenya, Lamu

    Sep 24, 2018 10:27

    Askari wa Kenya wamewaangamiza wanamgambo 10 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika kaunti ya Lamu.

  • SAUTI, Viongozi wa Kiislamu Kenya, huwenda wakaiburuza serikali mbele ya mahkama ya ICC kulaani ukandamizaji dhidi yao

    SAUTI, Viongozi wa Kiislamu Kenya, huwenda wakaiburuza serikali mbele ya mahkama ya ICC kulaani ukandamizaji dhidi yao

    Sep 20, 2018 11:22

    Viongozi wa dini ya kiislamu kwa kushirikiana na mashirika ya kutetea haki za binaadamu nchini Kenya watishia kuiburuza mahakamani serikali ya nchi hiyo katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kutokana na ukandamizaji wanaofanyiwa na serikali hiyo.

  • Ulimwengu wa Michezo, Sep 10

    Ulimwengu wa Michezo, Sep 10

    Sep 09, 2018 23:38

    Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti yaliyojiri duniani ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa

  • Wakenya wamshambulia Seneta aliyemtetea Mchina aliyetoa matusi machafu dhidi yao

    Wakenya wamshambulia Seneta aliyemtetea Mchina aliyetoa matusi machafu dhidi yao

    Sep 08, 2018 03:00

    Wananchi wa Kenya wamemshambulia vikali katika mitandao ya kijamii seneta wa eneo la Elgeyo, Marakwet Kipchumba Murkomen kutokana kauli yake aliyoitoa kufuatia sakata la kutiwa mbaroni raia wa China kwa jina Liu Jiaqi aliyewatusi Wakenya pamoja na Rais Uhuru Kenyatta kwa kuwaita nyani.

  • Makamu wa zamani wa rais wa Kenya awashangaza watu mahakamani

    Makamu wa zamani wa rais wa Kenya awashangaza watu mahakamani

    Aug 29, 2018 10:45

    Makamu wa zamani wa rais wa Kenya, Kalonzo Musyoka, leo amewashangaza Wakenya baada ya kuonekana mahakamani alikokwenda kushiriki katika utetezi wa Naibu Jaji Mkuu, Philomena Mwilu.

  • Balozi: Kiwango cha mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Kenya kinaweza kufikia dola milioni 500

    Balozi: Kiwango cha mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Kenya kinaweza kufikia dola milioni 500

    Aug 22, 2018 09:58

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Kenya amesema: kiwango cha mabadilishano ya kibiashara kati ya Tehran na Nairobi kinaweza kuongezeka na kufikia dola milioni 500.

  • Kenya yaimarisha usalama wa wanaoendesha vita dhidi ya mafisadi

    Kenya yaimarisha usalama wa wanaoendesha vita dhidi ya mafisadi

    Aug 19, 2018 02:51

    Serikali ya Kenya imemarisha usalama wa waendesha mashtaka, makachero na mashahidi wanaohusika katika kampeni mpya rasmi ya vita dhidi ya mafisadi nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS