-
SAUTI, UN yamtaja Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kuwa kiongozi pekee barani Afrika anayepambana na ufisadi
Aug 14, 2018 11:46Umoja wa Mataifa umempongeza Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kutokana na juhudi kubwa za kupambana na ufisadi anazozitekeleza nchini humo.
-
Kiwango cha usafirishaji bidhaa za Iran Kenya chaongezeka
Aug 12, 2018 01:58Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Kenya amesema kiwango cha bidhaa za Iran zinazosafirishwa kupelekwa nchini humo kimeongezeka.
-
Maafisa wawili wa ngazi za juu Kenya watiwa nguvuni kwa tuhuma za ufisadi
Aug 11, 2018 09:51Kenya imewatia nguvuni maafisa wawili wa ngazi za juu kwa tuhuma za ubadhirifu wa mali ya umma.
-
Bunge la Kenya lapinga wito wa kuwachunguza mawaziri wawili kuhusu sakata la sukari
Aug 10, 2018 12:49Wabunge wa Kenya wamepinga ripoti ya kamati mbili za Bunge zilizotaka kuchunguzwa Waziri wa Fedha wa nchi hiyo na mwenzake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu namna walivyoshughulikia suala la uingizaji sukari nchini.
-
SAUTI, Serikali ya Kenya yachukua hatua kali kukilinda kisiwa cha Mombasa kisitoweke
Aug 03, 2018 03:29Serikali ya Kenya imeweka mikakati madhubuti kuhakikisha kisiwa cha Mombasa kinasalia kuwa kisiwa.
-
SAUTI, Waislamu nchini Kenya wapinga uteuzi wa mabalozi Wakristo kupelekwa maeneo matukufu
Jul 29, 2018 12:15Waislamu nchini Kenya wamemtaka Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo kuwa makini katika kuzingatia maeneo anayowatuma mabalozi wake duniani.
-
9 waaga dunia katika ajali iliyotokea katika barabara ya Nairobi-Mombasa, Kenya
Jul 04, 2018 03:10Watu tisa wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea mapema leo katika barabara kuu ya Nairobi kuelekea Mombasa nchini Kenya.
-
Watu 75 waripotiwa kupoteza maisha kwa ugonjwa wa kipindupindu nchini Kenya
Jun 18, 2018 10:52Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya nchini Kenya imesema kuwa, jumla ya watu 75 wamepoteza maisha kwa ugonjwa wa kipindupindu tangu mwanzoni mwa mwaka huu.
-
Maafisa wanane wa polisi wa Kenya wauawa katika Kaunti ya Wajir
Jun 17, 2018 22:03Maafisa wasiopungua wanane wa polisi wameuawa baada ya gari lao kukanyaga bomu katika eneo la Bojigaras, kwenye Kaunti ya Wajir huko kaskazini mashariki mwa Kenya.
-
Mgogoro wa kidiplomasia kati ya Kenya na Uganda wanukia tena
Jun 13, 2018 03:25Mgogoro mwingine wa kidiplomasia kati ya Kenya na Uganda unanukia. Hii ni baada ya makumi ya wahamiaji haramu raia wa Uganda kukamatwa na maafisa wa polisi wa Kenya katika mpaka wa nchi mbili hizo.