SAUTI, Serikali ya Kenya yachukua hatua kali kukilinda kisiwa cha Mombasa kisitoweke
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i47203-sauti_serikali_ya_kenya_yachukua_hatua_kali_kukilinda_kisiwa_cha_mombasa_kisitoweke
Serikali ya Kenya imeweka mikakati madhubuti kuhakikisha kisiwa cha Mombasa kinasalia kuwa kisiwa.
(last modified 2026-02-05T09:20:29+00:00 )
Aug 03, 2018 03:29 UTC

Serikali ya Kenya imeweka mikakati madhubuti kuhakikisha kisiwa cha Mombasa kinasalia kuwa kisiwa.

Serikali imesema itakabaliana na hatua za kujaza taka kisha kuanzisha makazi yao kiholela. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mwenendo huo utapelekea kukifuta kisiwa hicho, iwapo hatua kali hazitochukuliwa na serikali.

Tujiunge na mwandishi wetu wa mjini Mombasa, Seifullah Murtadha kwa taarifa kamili……../