Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Mahakama ya Juu Kenya yatoa ufafanuzi wa kubatilisha uchaguzi wa urais

    Mahakama ya Juu Kenya yatoa ufafanuzi wa kubatilisha uchaguzi wa urais

    Sep 20, 2017 09:47

    Mahakama ya Juu nchini Kenya imesema haijuti kuchukua uamuzi wa kubatilisha ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta katika uchaguzi mkuu uliofanyika Agosti 8 mwaka huu, huku ikiilaumu Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC kwa kuendesha zoezi hilo kinyume cha sheria.

  • Jaji Mkuu wa Kenya amtuhumu Mkuu wa Polisi kwa kupuuzia usalama wa majaji

    Jaji Mkuu wa Kenya amtuhumu Mkuu wa Polisi kwa kupuuzia usalama wa majaji

    Sep 19, 2017 23:54

    Jaji Mkuu wa Kenya, David Maraga amemtuhumu Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Joseph Boinett kwa kupuuzia usalama wa majaji na kwamba anahatarisha maisha yao.

  • Wafuasi wa Jubilee waandamana Kenya kupinga uamuzi wa Mahakama

    Wafuasi wa Jubilee waandamana Kenya kupinga uamuzi wa Mahakama

    Sep 19, 2017 11:23

    Polisi nchini Kenya wamelazimika kutumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya wafuasi wa chama cha Jubilee cha Rais Uhuru Kenyatta ambao walikuwa wakiandamana nje ya Mahakama ya Kilele mjini Nairobi wakipinga uamuzi wa mahakama hiyo kubatilisha uchaguzi wa rais wa Agosti 8.

  • Hatma ya kufanyika uchaguzi wa rais Kenya katika tarehe iliyopangwa bado haijajulikana hadi sasa

    Hatma ya kufanyika uchaguzi wa rais Kenya katika tarehe iliyopangwa bado haijajulikana hadi sasa

    Sep 18, 2017 03:38

    Duru za habari za Magharibi zimeripoti kuwepo suitafahamu kuhusiana na tarehe ya kufanyika uchaguzi wa rais wa marudio nchini Kenya.

  • Rais Kenyatta: Nilihisi uchungu sana kwa hatua ya mahakama kufuta ushindi wangu

    Rais Kenyatta: Nilihisi uchungu sana kwa hatua ya mahakama kufuta ushindi wangu

    Sep 14, 2017 00:17

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema kuwa, alihisi uchungu mwingi baada ya Mahkama ya Kilele nchini humo kufuta ushindi wake katika uchaguzi uliopita wa tarehe Nane Agosti mwaka huu.

  • Polisi ya Kenya yatumia gesi ya kutoa machozi baada ya wanawake kuvamiwa mkutanoni

    Polisi ya Kenya yatumia gesi ya kutoa machozi baada ya wanawake kuvamiwa mkutanoni

    Sep 13, 2017 10:29

    Polisi nchini Kenya katika mji wa Kisumu magharibi mwa nchi hiyo leo wamenyunyiza angani gesi ya kutoa macho na kufyatua risasi ili kuwatawanya vijana wa kiume waliovamia hoteli moja na kuanza kuwapiga wanawake waliokuwa wakihudhuria mkutano wa uchaguzi mjini humo.

  • Tanzania na Kenya kufanya mazungumzo ya biashara Novemba

    Tanzania na Kenya kufanya mazungumzo ya biashara Novemba

    Sep 13, 2017 03:20

    Kenya na Tanzania zitafanya mazungumzo mwezi Novemba ili kuimarisha biashara kati ya pande hizo mbili.

  • Jeshi la Somalia lakomboa eneo la mpakani kutoka kwa al Shabab

    Jeshi la Somalia lakomboa eneo la mpakani kutoka kwa al Shabab

    Sep 12, 2017 22:02

    Jeshi al Somalia limefanikiwa kukomboa eneo la mpaka wa nchi hiyo na Kenya lililokuwa limetekwa na wapiganaji wa kundi la kigaidi la al Shabab.

  • Upinzani Kenya: Maafisa wa uchaguzi wametishiwa maisha

    Upinzani Kenya: Maafisa wa uchaguzi wametishiwa maisha

    Sep 08, 2017 12:31

    Kiongozi wa Muungano wa upinzani Kenya (NASA) Raila Odinga amesema leo kuwa maisha ya baadhi ya maafisa wa ngazi ya juu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya nchi hiyo yanakabiliwa na tishio kubwa kutoka serikalini kabla ya kufanyika uchaguzi mpya wa rais mwezi ujao.

  • Al Shabaab wawaua kwa kuwakata vichwa Wakenya wanne katika Kaunti ya Lamu

    Al Shabaab wawaua kwa kuwakata vichwa Wakenya wanne katika Kaunti ya Lamu

    Sep 06, 2017 11:53

    Wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Al Shabaab la Somalia wamewaua kwa kuwakata vichwa wanaume wanne raia wa Kenya katika mashambulio mawili tofauti waliyofanya katika Kaunti ya Lamu kwenye pwani ya kaskazini mwa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS