-
SAUTI, Waislamu nchini Kenya wakosoa vikali hatua ya Baraza la CIPK kujihusisha na siasa kwa kumpigia debe Rais Kenyatta
Jul 28, 2017 11:31Waumini wa dini ya Kiislamu nchini Kenya wamekosoa na kulaani kitendo cha Baraza la Maimamu na Wahubiri nchini Kenya CIPK kujitosa hadharani na kutangaza kumpigia debe Rais Uhuru Kenyetta wa nchi hiyo.
-
Tanzania yakanusha kupendelea upinzani katika uchaguzi wa Kenya
Jul 18, 2017 11:31Serikali ya Tanzania imekanusha madai ya kuunga mkono muungano wa upinzani nchini Kenya katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Agosti 8.
-
Kenya na Iran zaafikiana kutotoza ushuru mara mbili
Jul 15, 2017 23:46Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Kenya zimetiliana saini mapatano ya kutotozana ushuru mara mbili na pia kuzuia watu au mashirika ya nchi mbili kukwepa kulipa ushuru unaotokana na mapato na uwekezaji.
-
Rais Kenyatta asema kisiwa cha Migingo ni milki ya Kenya, Uganda bado inadai inakimiliki
Jul 12, 2017 10:28Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema kisiwa cha Migingo katika Ziwa Viktoria ni milki ya Kenya.
-
Jaji Mkuu Kenya amuonya Rais Uhuru, usivunje imani ya wananchi
Jul 10, 2017 03:43Jaji Mkuu wa Kenya amemuonya Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo akimtaka kuacha kuvunja imani ya wananchi kwa mahakama za nchi hiyo.
-
Magaidi wachinja watu 9 Lamu, Kenya
Jul 08, 2017 12:14Watu wanaodhaniwa kuwa magaidi wa kundi la la Shabab wamewachinja kwa kuwakata vichwa watu 9 katika shambulizi lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika kijiji kimoja cha Kaunti ya Lamu huko pwani mwa Kenya.
-
Al Shabab waua Polisi 2 katika hujuma huko Lamu, Kenya
Jul 05, 2017 10:08Maafisa wawili wa polisi nchini Kenya wameuawa baada ya magaidi wanaoaminika kuwa wa kundi la Al Shabab kushambulia kituo cha polisi katika eneo la Pandanguo katika Kaunti ya Lamu.
-
EU yaonya uwezekano wa kutokea machafuko ya uchaguzi nchini Kenya
Jul 03, 2017 10:48Umoja wa Ulaya umeonya kuhusu uwezekano wa kutokea machafuko ya uchaguzi nchini Kenya na kusema kuwa, umetuma timu yake ya kwanza ya wasimamiaji wa uchaguzi nchini humo.
-
Wakenya ni watu wa kwanza Afrika kupata jenisi ya dawa mpya za Ukimwi
Jun 28, 2017 10:31Kenya ni nchi ya kwanza ya Kiafrika kuanza kutumia jenisi (generic) ya dawa mpya za ugonjwa wa Ukimwi ambazo zinaweza kuboresha na kurefusha maisha ya makumi ya maelfu ya watu wanaotaabika na madhara makubwa na kushindwa kwenda sambamba na dawa nyingine.
-
Watu watano wauawa aktika hujuma ya kigaidi Mandera, Kenya
Jun 23, 2017 09:54Watu watano wanaripotiwa kuuawa nchini Kenya katika mji wa El Wak kaunti ya Mandera eneo la kaskazini mashariki kufuatia hujuma ya kundi la kigaidi la al-Shabab.