Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • UNHCR imewarejesha wakimbizi zaidi ya 30,000 wa Somalia kutoka Kenya

    UNHCR imewarejesha wakimbizi zaidi ya 30,000 wa Somalia kutoka Kenya

    Sep 30, 2016 04:26

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limesema kuanzia mwezi Desemba mwaka 2014 wakimbizi zaidi ya elfu 30 wa Somalia wamerejeshwa kwa hiari katika nchi yao kutoka kambi ya wakimbizi ya Dadaab iliyoko kaskazini mashariki mwa Kenya.

  • SAUTI: Polisi Kenya: Tumemuua gaidi wa ash-Shabab aliyekuwa akisakwa kwa muda mrefu

    SAUTI: Polisi Kenya: Tumemuua gaidi wa ash-Shabab aliyekuwa akisakwa kwa muda mrefu

    Sep 28, 2016 12:23

    Idara ya polisi nchini Kenya imetangaza kumpiga risasi na kumuua mshukiwa mkuu wa ugaidi nchini humo ambaye amekuwa akisakwa kwa muda mrefu na jeshi hilo.

  • Kenya yatangaza azma ya kuangamiza kundi la kigaidi la Al Shabab

    Kenya yatangaza azma ya kuangamiza kundi la kigaidi la Al Shabab

    Sep 27, 2016 11:38

    Afisa wa ngazi za juu katika polisi ya Kenya amesema vikosi vyote vya usalama nchini humo vina azma imara ya kuangamiza kundi la kigaidi la Al Shabab.

  • Rais Rouhani asisitiza kuongezwa kiwango cha ushirikiano kati ya Iran na Kenya

    Rais Rouhani asisitiza kuongezwa kiwango cha ushirikiano kati ya Iran na Kenya

    Sep 25, 2016 13:04

    Rais Hassan Rouhani amesema kustawisha na kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika ni miongoni mwa misingi ya siasa za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • SAUTI: Wakenya wasiokuwa na vitambulisho vya uraia waitisha maandamano makubwa Kenya

    SAUTI: Wakenya wasiokuwa na vitambulisho vya uraia waitisha maandamano makubwa Kenya

    Sep 24, 2016 13:52

    Hatma ya kusajiliwa kwa jamii zisizokuwa na uraia wa taifa la Kenya bado haijafahamika kutokana na kukamilika kwa muda wa usajili wa jamii hizo.

  • SAUTI: Mahojiano maalumu juu ya mazungumzo ya Maspika wa mabunge ya Iran na Kenya

    SAUTI: Mahojiano maalumu juu ya mazungumzo ya Maspika wa mabunge ya Iran na Kenya

    Sep 24, 2016 13:45

    Maspika wa mabunge ya Iran na Kenya wamesisitzia udharura wa kuimarishwa zaidi uhusiano wa nchi hizo mbili katika pande zote.

  • SAUTI: Wanachama wa kundi la kitakfiri la ash-Shabab wavamia bohari la silaha la kambi ya polisi

    SAUTI: Wanachama wa kundi la kitakfiri la ash-Shabab wavamia bohari la silaha la kambi ya polisi

    Sep 22, 2016 13:43

    Katika hujuma hiyo wanachama hao wa kigaidi wanadaiwa kutoweka na kiasi kisichojulikana cha risasi na bunduki, sanjari na kumjeruhi vibaya polisi mmoja.

  • Al Shabaab washambulia Kenya, askari polisi wawili hawajulikani waliko

    Al Shabaab washambulia Kenya, askari polisi wawili hawajulikani waliko

    Sep 22, 2016 11:09

    Askari polisi wawili wa Kenya hawajulikani waliko kufuatia shambulio la kundi la kigaidi na kitakfiri la Al-Shabaab katika kituo cha polisi cha Kaunti ya Garissa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. Hayo yameelezwa na msemaji wa Polisi ya Kenya George Kinoti. 

  • Kenya: Maneva yetu ya kijeshi na Jordan ni kuinua uwezo wetu wa kijeshi

    Kenya: Maneva yetu ya kijeshi na Jordan ni kuinua uwezo wetu wa kijeshi

    Sep 21, 2016 03:50

    Wizara ya Ulinzi nchini Kenya imesema kuwa, maneva ya kijeshi kati ya nchi hiyo na Jordan yanafanyika katika fremu ya kuinua uwezo wa nguvu kati ya nchi mbili katika kukabiliana na tishio la usalama.

  • SAUTI: Waislamu Kenya walaani kitendo cha kukamatwa na polisi mke wa Sheikh Aboud Rogo

    SAUTI: Waislamu Kenya walaani kitendo cha kukamatwa na polisi mke wa Sheikh Aboud Rogo

    Sep 16, 2016 23:29

    Radiamali ya Waislamu nchini Kenya imeendelea kutolewa kutokana na kamatakamata ya polisi ya nchi hiyo katika kuwasaka wanachama wa genge jipya la wanawake wanaoaminika kuwa wafuasi wa kundi la kigaidi la ash-Shabab.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS