-
Viongozi wa Waislamu Kenya walaani wanawake magaidi waliokuwa wamevaa buibui
Sep 13, 2016 02:29Viongozi wa Waislamu nchini Kenya wamewakana na kuwalaani wanawake watatu waliotekeleza hujuma ya kigaidi dhidi ya kituo cha polisi mjini Mombasa siku ya Jumapili.
-
Polisi Mombasa yazima shambulio la kigaidi, wanawake watatu wauawa
Sep 11, 2016 09:36Polisi ya Mombasa Kenya imetibua shambulio la kigaidi na kuwauwa wanawake watatu waliotaka kutekeleza shambulio hilo katika makao makuu ya polisi mjini humo.
-
Ushindi kwa wanafunzi Waislamu Kenya baada ya mahakama kuruhusu Hijabu shuleni
Sep 09, 2016 10:18Waislamu nchini Kenya wamepata ushindi baada ya Mahakama ya Rufaa nchini humo kuamuru kwamba, wasichana wa Kiislamu nchini humo wanaruhusiwa kuvaa vazi la stara ya mwanamke wa Kiislamu Hijabu.
-
Watuhumiwa saba wa ugaidi watiwa nguvuni Isiolo, Kenya
Sep 06, 2016 23:46Jeshi la Polisi mjini Isiolo nchini Kenya linaendelea kuwasaili watu saba wanaoshikiliwa na jeshi hilo tangu wiki mbili zilizopita kwa tuhuma za kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la ash Shabab.
-
Kiongozi wa kanisa Kenya: Wanasiasa wanalifanyia siasa baa la njaa nchini
Aug 30, 2016 00:00Askofu wa Kanisa la Anglikana katika jimbo la Mombasa nchini Kenya Julius Kalu, amewakosoa vikali wanasiasa wa Pwani kwa kulifanyia siasa baa la njaa, ambalo limeathiri pakubwa baadhi ya maeneo ya eneo hilo.
-
Katibu mkuu wa kamati ya olimpiki nchini Kenya atiwa mbaroni kwa ufisadi
Aug 27, 2016 02:56Duru za usalama nchini Kenya zimeripoti kutiwa mbaroni Katibu Mkuu wa Kamati ya Kitaifa ya Olimpiki nchini humo.
-
Kenya yatathmini kutuma wanajeshi Sudan Kusini
Aug 18, 2016 22:22Bunge la Kenya linatazamiwa kujadili hoja ya iwapo serikali ya Nairobi itatuma wanajeshi wa nchi hiyo KDF nchini Sudan Kusini au la, wiki moja baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupasisha azimio la kutumwa askari 4,000 zaidi nchini humo.
-
Deng Gai: Machar ndiye anayekwamisha mchakato wa amani S/Kusini
Aug 17, 2016 09:25Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini, Taban Deng Gai amemlaumu mtangulizi wake katika kiti hicho Riek Machar aliyeutoroka mji wa Juba kuwa amevuruga mchakato wa amani na kukiuka makubaliano ya kusitisha machafuko ya miezi kadhaa katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.
-
Spoti, Agosti 14
Aug 15, 2016 03:31Hujambo mpenzi msikilizaji na haswa shabiki wa masuala ya spoti na karibu nikupashe kuhusu viwanja na wachezaji ndani ya siku saba zilizopita na haswa habari kutoka Brazil kunakoendelea Olimpiki ya Rio….….karibu……..
-
KDF: Al-Shabaab inawasajili kwa nguvu vijana nchini Kenya
Aug 03, 2016 03:31Jeshi la Ulinzi la Kenya KDF limesema kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab sasa linawalazimisha vijana kujiunga nalo, haswa katika maeneo ya Pwani ya nchi.