Pars Today
Wiki iliyopita, banda la Chuo Kikuu cha Mzumbe katika Maonyesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya jijini Dar es Salaam lilikuwa na msongamano wa watu.
Wizara ya Jihadi ya Kilimo ya Iran imetangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Afrika zimekubaliana kuunda kamati ya ushirikiano wa pamoja katika sekta ya kilimo.
Watafiti wa Kimarekani wametahadharisha kuhusu uchafuzi wa mamilioni ya hekta za ardhi ya kilimo zilizoharibiwa na mada za sumu nchini humo.
Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni katika sehemu hii nyingine ya mfululizo wa makala zetu maalumu tulizokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 44 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran. Leo tutaendelea kuzungumzia matunda ya kiuchumi ya mapinduzi hayo matukufu tukiwa na matumaini mtakuwa nasi hawi mwisho wa kipindi.
Washirika wa maendeleo wa Afrika wameahidi kutoa dola bilioni 30 kwa maendeleo ya kilimo na uhuru wa chakula kwa bara hilo katika miaka mitano ijayo.
Mkuu wa Kamisheni ya Kilimo, Maji, Maliasili na Mazingira katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa zaidi ya watu milioni 500 katika nchi za kanda hii na jirani zake wanataka kunufaika na bidhaa za kilimo za Iran.
Mafuta ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yanayoendelea kutumwa nchini Lebanon yamefanikiwa kufufua sekta ya kilimo katika maeneo ya kusini mwa nchi hiyo na shughuli za kilimo za wakazi wa maeneo hayo zimeanza kunawiri tena.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo Duniani limesema baaada ya miaka mingi ya kupungua, sasa ajira ya watoto katika kilimo imeanza kuongezeka tena ikichochewa na migogoro na majanga yanayotokana na mabadiliko ya tabia nchi.
Waziri wa Jihadi ya Kilimo wa Iran na Makamu wa Rais wa Ghana wamesisitizia udharura wa kufanyika kikao cha kamisheni ya pamoja ya uchumi na kupanuliwa ushirikiano katika sekta ya kilimo kati ya nchi mbili.
Kituo cha Afrika cha Mabadiliko ya Kiuchumi ACET kimesema kuwa, njia ya kuleta mapinduzi katika kudhamini usalama wa chakula barani humo ni kwa serikali zilizoko madarakani kubadilisha sera zao na kuwaandalia vijana fursa nzuri za kilimo pamoja na kutumia teknolojia za kisasa katika sekta hiyo.