-
Shahrivar Nane; Siku ya kupambana na ugaidi nchini Iran
Aug 29, 2024 07:38Leo, Alhamisi, tarehe 8 Shahrivar sawa na Agosti 29, 2024 ni kumbukumbu ya kuuawa shahidi Rais na Waziri mkuu wa Iran, na ni siku ya kitaifa ya kupambana na ugaidi nchini Iran.
-
Wapalestina waliouawa shahidi Gaza wakaribia 50,000
Aug 28, 2024 15:20Idadi ya mashahidi wa vita vya mauaji ya halaiki huko Gaza yanauyotekelezwa na utawala haramu wa Israel imekaribia 50,000.
-
Makundi mbalimbali yalaani mauaji ya Israel dhidi ya Ismail Haniyeh
Jul 31, 2024 09:21Makundi ya mapambano na Muqawama, yamelaani kitendo cha kigaidi cha kuuawa Ismail Haniyeh, mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) kufuatia shambulio dhidi ya sehemu alikofikia mjini Tehran.
-
Iran: Damu ya shahidi Ismail Haniya haitapotea bure
Jul 31, 2024 07:27Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ametoa mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi Ismail Haniya Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) na kueleza kwamba, hapana shaka kuwa, damu ya mujahidi huyo haitapotea bure.
-
Ismail Haniyeh ameuawa shahidi katika hujuma ya kigaidi mjini Tehran
Jul 31, 2024 03:53Idara ya Uhusiano wa Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imetangaza kuwa mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) Ismail Haniyeh na mmoja wa walinzi wake wameuawa shahidi baada ya kushambuliwa makazi yao mjini Tehran.
-
Nasrullah: Kuuawa shahidi 'ni sehemu ya utamaduni wetu ili kulinda mataifa yetu'
Jul 12, 2024 11:32Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah ametilia mkazo wajibu kupambana na kuwa tayari kuuliwa shahidi katika kulinda madola ya Kiislamu dhidi ya uvamizi na kukaliwa kwa mabavu na maadui.
-
Ebrahim Raisi, Hossein Amir-Abdollahian; mashahidi katika njia ya kuhudumia Iran, Uislamu na Muqawama
May 21, 2024 12:14Baada ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye asubuhi ya Jumatatu, wananchi wa Iran walikumbana na habari za kutoaminika kirahisi za kufa shahidi Rais Ebrahim Raisi, Hossein Amir Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje na viongozi wengine kadhaa aliofuatana nao, katika ajali ya helikopta iliyotokea katika eneo la Varzghan mkoani Azerbaijan Mashariki wakiwa katika kazi ya kuhudumia na kuwatumikia wananchi.
-
Rais Ebrahim Raisi na ujumbe aliofuatana nao, wafa shahidi katika ajali ya helikopta
May 20, 2024 05:40Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Seyed Ebrahim Raisi na viongozi kadhaa aliofuatana nao wamekufa shahidi katika ajali ya helikopta iliyotokea katika eneo la Varzghan mkoani Azerbaijan Mashariki wakiwa katika kazi ya kuwahudumia na kuwatumikia wananchi.
-
Kiongozi Muadhamu: Iran itaufanya utawala wa Israel ujutie uhalifu nchini Syria
Apr 02, 2024 13:31Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma salamu za rambirambi kufuatia kuuawa shahidi Majenerali walioongoka wa Kiislamu katika shambulio la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran nchini Syria na kusisitiza kwamba: "Taifa la Iran litawafanya Wazayuni wajutie jinai hiyo na jinai zingine kama hiyo."
-
Mshauri wa IRGC auawa shahidi katika shambulio la anga lililofanywa na Israel nchini Syria
Feb 02, 2024 14:09Mshauri wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC ameuawa shahidi kufuatia shambulio la ndege za kivita za utawala wa Kizayuni katika mji wa Aqrabah kusini mwa mji mkuu wa Syria Damascus, karibu na eneo la Sayeda Zainab.