-
Kuongezeka matukio ya kujiua miongoni mwa askari wa Kizayuni; jeshi la Israel linasambaratika kutokea ndani
Aug 03, 2025 02:25Vitendo vya kujiuawa vitakuwa kuwa tishio na jinamizi kuu miongoni mwa wanajeshi wa Israel baada ya kumalizika vita vya Gaza.
-
Wanajeshi magaidi wa Israel watimka Ghaza baada ya kuangamizwa 13 kati yao
Jan 06, 2025 03:05Duru za utawala wa Kizayuni zimetangaza kuwa, wanajeshi wa Israel wamekimbia kaskazini mwa Ghaza baada ya kupata kipigo kikali kutoka kwa wanamapambano wa Palestina hasa baada ya kuangamizwa wanajeshi 13 wa Israel kwenye eneo hilo.
-
Mgogoro wa Afya ya Akili na Kujiua katika Jamii ya Marekani (Siku ya Kuzuia Kujiua Duniani)
Sep 28, 2023 11:36Jumapili ya tarehe 10 Septemba ilisadifiana na Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Kujiua. Siku hiyo ilisajiliwa katika kalenda ya dunia mwaka wa 2003 na Chama cha Kimataifa cha Kuzuia Kujitoa Uhai kwa ushirikiano wa Shirika la Afya Duniani (WHO).
-
Utafiti: Idadi ya vijana wanaojiua nchini Marekani yaongezeka
Feb 18, 2023 07:38Imeelezwa kuwa, idadi ya vijana wanaojiua nchinii Marekani imeongezeka mno katika katika kipindi cha janga la virusi vya Corona.
-
Kuongezeka mawazo ya kutaka kujiua miongoni mwa watoto na vijana wa Marekani
Nov 18, 2022 07:27Matokeo ya utafiti uliofanya huko Marekani yanaonyesha kuwa mawazo na fikra za kutaka kujiua zimeongezeka sana kati ya watoto na vijana wa nchi hiyo.
-
Idadi ya askari wa Israel wanaojiua imeongezeka ghafla
Jun 22, 2022 07:56Duru za Kiebrania zimeripoti ongezeko la idadi ya askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel waliojiua katika kipindi cha miezi sita ya kwanza ya mwaka huu wa 2022.
-
Tsunami ya kujiua katika jeshi la Marekani, nembo ya mgogoro wa kinafsi na kimaadili
Jun 26, 2021 15:01Ripoti ya karibuni ya Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inaonesha ongezeko la visa vya kujiua kati ya wanajeshi wa nchi hiyo hususan maveterani wa jeshi.
-
Takwimu rasmi: Wajapan wanaojiua ni wengi zaidi kuliko wanaofariki kwa corona!
Dec 03, 2020 07:24Takiwmu zilizotolewa na serikali ya Japan zinaonyesha kuwa, katika mwezi wa Oktoba pekee, watu 2,215 walijiua nchini humo, idadi ambayo ni kubwa zaidi kulinganisha na ya watu wote walioaga dunia hadi sasa nchini humo kwa ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona.
-
Indhari yatolewa juu ya uwezekano wa kuendelea kujiua askari wa Marekani
Mar 10, 2020 02:46Matokeo ya uchunguzi mpya yanaonyesha kwamba, karibu nusu ya askari wa Marekani hufikirla kujiua baada ya kujiunga na jeshi.
-
Pentagon yatahadharisha kuhusu ongezeko la kujiua askari wa kikosi cha anga Marekani
Feb 07, 2020 01:09Wizara ya Ulinzi nchini Marekani (Pentagon) imetahadharisha juu ya ongezeko la kujiua maafisa wa jeshi la anga la nchi hiyo.