-
Iran yasambaratisha kundi la kigaidi kusini mwa nchi
Apr 03, 2016 13:39Vikosi vya usalama Iran vimesambaratisha kijikundi cha kigaidi kusini mashariki mwa nchi katika mkoa wa Sistan na Baluchestan.
-
Magaidi 115 wa Al Shabab wauawa Somalia
Mar 28, 2016 13:40Jeshi la Somalia limefanikiwa kuwaua magaidi zaidi ya 115 wa kundi la kitakfiri la Al Shabab katika jimbo la Galmudug nchini humo.
-
Iran yalaani hujuma za kigaidi Pakistan na Iraq
Mar 28, 2016 08:20Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma za hivi karibuni za kigaidi katika mji wa Lahore Pakistan na karibu na Baghdad mji mkuu wa Iraq.
-
'Jordan, UK zinaisaidia Kenya kukabiliana na Al Shabab'
Mar 28, 2016 07:12Imedaiwa kuwa Jordan na Uingerea zinashirikiana kwa siri kuisaidia Kenya kukabiliana na kundi la kigaidi la Al Shabab.
-
Magaidi 70 wa al Shabab wauawa na jeshi la Somalia
Mar 22, 2016 08:04Magaidi zaidi ya 70 wa kundi la kitakfiri la al Shabab wameuawa katika mapigano na Jeshi la Somalia kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Harakati za kigaidi zashika kasi Sinai Kaskazini, Misri
Mar 21, 2016 09:01Magaidi wenye mfungamano na kundi la kitakfiri la Daesh wamezisisha harakati zao katika eneo la Sinai Kaskazini nchini Misri licha ya askari usalama wa nchi hiyo kunzisha operesheni ya kuliandamana kundi hilo tangu miezi sita iliyopita.
-
Harakati za kigaidi zashika kasi Sinai Kaskazini, Misri
Mar 21, 2016 08:09Magaidi wenye mfungamano na kundi la kitakfiri la Daesh wamezisisha harakati zao katika eneo la Sinai Kaskazini nchini Misri licha ya askari usalama wa nchi hiyo kunzisha operesheni ya kuliandamana kundi hilo tangu miezi sita iliyopita.
-
Jeshi la Kenya laua magaidi 34 wa al-Shabab Somalia-MPYA UPDATE 2
Mar 20, 2016 15:52Jeshi la Kenya limewaangamiza magaidi 21 wa kundi la kitakfiri la al Shabab kufuatia mapigano makali katika nchi jirani ya Somalia.
-
Magaidi 19 wa al Shabab wauawa Somalia
Mar 17, 2016 07:18Jeshi la Kenya limetangaza kuwa wapiganaji 19 wa kund la kigaidi la al Shabab wameuawa huko kusini mwa Somalia.
-
Magaidi wa Al Qaeda walilewa kabla ya kuvamia Kodivaa
Mar 15, 2016 15:17Magaidi wa Al Qaeda waliingia katika baa moja na kunywa pombe kabla ya kuanza kufyatua risasi kiholela katika eneo la kitalii kwenye ufukwe wa bahari nchini Ivory Coast ambapo watu wasiopungua 18 waliuawa katika mji wa Grand-Bassam.