Pars Today
Leo ni Jumanne, mwezi 06 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1446 Hijria, sawa na tarehe 10 Septemba, 2026.
Leo ni Alkhamisi tarehe Mosi Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1446 Hijria sawa na Septemba 5 mwaka 2024.
Leo ni Jumatano tarehe 12 Dhulhija 1445 Hijria sawa na tarehe 19 Juni 2024.
Leo ni Jumamosi tarehe Pili Mfunguo Pili Dhul-Qaadah 1445 Hijria mwafaka na tarehe 11 Mei 2024 Miladia.
Katibu wa Tume ya Haki za Binadamu wa Idara ya Mahakama ya Iran amekumbusha kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa mhanga mkubwa zaidi wa vitendo vya magaidi na kubainisha kwamba: hadi sasa watu elfu 23 wasio na hatia wameuawa shahidi kutokana na vitendo vya kigaidi.
Albania imempiga marufuku kiongozi wa kundi la kigaidi la Munafiqin (MKO) kutia mguu katika ardhi ya nchi hiyo ya Ulaya.
Mahakama kuu ya jinai ya Iran inatazamiwa kuwapandisha kizimbani wanachama zaidi ya 100 wa kundi la kigaidi la Munafikin (MKO) ambalo limefanya mauaji ya makumi ya maelfu ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje jya Iran ameashiria vitendo vya jinai na kigaidi vinavyofanywa na kundi la Munafiqin la Iran huko Albania, na kueleza matumaini yake kuwa serikali ya nchi hiyo itafidia makosa yake ya kuwa mwenyeji wa kundi hilo la kigaidi.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amezungumzia suala la kualikwa kiongozi wa kundi la kigaidi la MKO katika Bunge la Ulaya na nara zinazotolewa na nchi za Ulaya kuhusu haki za binadamu na kuhoji: Haki za binadamu zina uhusiano gani na kuwaunga mkono magaidi?
Hussein Amir-Abdollahia, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran Jumamosi ya juzi tarehe 11 Februari alitoa radiamali kuhusiana na azimio la Kongresi ya Marekani linaloliunga mkono kundi la kigaidi la Munafiqin (MKO).