Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

kupambana na ugaidi

  • Waziri wa Awqaf Misri asisitiza kuhusu vita dhidi ya wenye misimamo mikali

    Waziri wa Awqaf Misri asisitiza kuhusu vita dhidi ya wenye misimamo mikali

    Oct 28, 2016 23:08

    Waziri wa Awqaf nchini Misri amesisitiza kuhusu ulazima wa kukabiliana na misimamo mikali ya kidini sambamba na kuwepo jitihada za kueneza amani katika jamii.

  • Iran, Russia na Syria zasisitiza juu ya kuendeleza mapambano dhidi ya ugaidi

    Iran, Russia na Syria zasisitiza juu ya kuendeleza mapambano dhidi ya ugaidi

    Oct 28, 2016 10:15

    Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiisamu ya Iran, Russia na Syria wamesisitiza juu ya azma ya nchi zao ya kuendeleza mapambano dhidi ya ugaidi.

  • Rouhani: Nchi za kibeberu zinafanya maonyesho ya kisiasa katika

    Rouhani: Nchi za kibeberu zinafanya maonyesho ya kisiasa katika "vita dhidi ya ugaidi"

    Oct 25, 2016 04:24

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema madola ya kibeberu na kiistikbari yanawachezea shere walimwengu sambamba na kufanya maonyesho ya kisiasa katika kile wanachokitaja kuwa 'vita dhidi ya ugaidi.'

  • Iran yazima njama za magaidi wakati wa Ashura

    Iran yazima njama za magaidi wakati wa Ashura

    Oct 13, 2016 04:27

    Vyombo vya usalama nchini Iran vimetibua njama ya kutekelezwa mashambulizi ya kigaidi hapa nchini wakati wa maombolezo ya Ashura ya kukumbuka tukio chungu la kuuawa Shahidi Imam Hussein AS, mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW.

  • Mgogoro wa Syria na ukwamishaji wa viongozi wa Marekani

    Mgogoro wa Syria na ukwamishaji wa viongozi wa Marekani

    Oct 08, 2016 02:50

    Marekani imekuwa ikifanya njama mbalimbali za kukwamisha jitihada za kuutafutia ufumbuzi wa kisiasa mgogoro wa nchi ya Kiarabu ya Syria, suala ambalo limewafanya maafisa wa Umoja wa Mataifa washindwe kuvumilia na kuamua kuilalamikia Marekani kwa njama zake hizo.

  • Al-Azhar yasisitiza ulazima wa kukabiliana na ugaidi

    Al-Azhar yasisitiza ulazima wa kukabiliana na ugaidi

    Oct 04, 2016 11:36

    Sheikh Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri amesisitizia ulazima wa kukabiliana na ugaidi.

  • Sisitizo la Iran la kuendelea kuiunga mkono Syria katika kupambana na ugaidi

    Sisitizo la Iran la kuendelea kuiunga mkono Syria katika kupambana na ugaidi

    Sep 28, 2016 09:24

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaitakidi kuwa kulindwa umoja, mshikamano na ardhi yote ya nchi zote za Mashariki ya Kati ikiwemo Syria ni suala la msingi. Aidha ni jukumu lake kutoa msaada katika kupambana na ugaidi na kurejesha amani na usalama nchini Syria na kwamba kubadilishwa mipaka ya nchi hiyo hakuwezi kamwe kuwa na maslahi kwa eneo hili.

  • Marekani imepoteza maelfu ya mabilioni ya dola kwa kisingizio cha mashambulizi ya Septemba 11

    Marekani imepoteza maelfu ya mabilioni ya dola kwa kisingizio cha mashambulizi ya Septemba 11

    Sep 19, 2016 22:14

    Matokeo ya utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu kimoja nchini Marekani yanaonyesha kuwa Washington imepoteza dola bilioni elfu tano kwa kile ilichokiita mapambano dhidi ya ugaidi, tangu kutokea mashambulizi ya Septemba 11 nchini humo.

  • Dakta Zarif: Hakuna ugaidi mzuri na mbaya; ugaidi upigwe vita na wote

    Dakta Zarif: Hakuna ugaidi mzuri na mbaya; ugaidi upigwe vita na wote

    Aug 30, 2016 02:31

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, walimwengu wote wanapaswa kusimama na kupambana na ugaidi na kwamba, hakuna ugaidi mzuri na mbaya.

  • Afrika Kusini yasisitiza mapambano dhidi ya ugaidi

    Afrika Kusini yasisitiza mapambano dhidi ya ugaidi

    Aug 23, 2016 03:13

    Rais wa Afrika Kusini amesisitiza kuunga mkono juhudi za mapambano dhidi ya ugaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS