-
Assad: Mgororo wa Syria utatatuliwa kwa mazungumzo sambamba na kupambana na ugaidi
Jul 02, 2016 21:56Rais Bashar Assad wa Syria amesema kuwa, haiwezekani kupatikana njia ya ufumbuzi halisi wa mgogoro wa nchi hiyo bila ya kuwepo mapambano ya kweli dhidi ya ugaidi.
-
Umoja wa Ulaya waahidi kushirikiana na Afrika Magharibi dhidi ya ugaidi
Jun 25, 2016 01:55Umoja wa Ulaya umesema kuwa utashirikiana na nchi za eneo la Magharibi mwa Afrika katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Iran: Magaidi tuliowakamata wakiri kutumwa na Saudia na US
Jun 24, 2016 22:20Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran IRGC amesema wanachama wa magenge ya kigaidi waliokamatwa hivi karibuni hapa nchini wakipanga njama za kutekeleza mashambulizi ya bomu wamekiri kwamba walipokea ufadhili kutoka Saudi Arabia na Marekani.
-
Magaidi wakamatwa wakipanga kushambulia maeneo 50 nchini Iran
Jun 22, 2016 02:17Waziri wa Usalama Iran Mahmoud Alavi amesema magaidi wakufurishaji waliokamatwa hivi karibuni walipanga kutekeleza mashambulizi katika maeneo 50 kote Iran.
-
Radiamali ya Syria kufuatia kuwepo vikosi ajinabi nchini humo
Jun 15, 2016 23:21Damascus imekosoa kuwepo wanajeshi wa nchi za nje kaskazini mwa Syria.
-
Iraq yaunga mkono kuwepo washauri wa kijeshi wa Iran katika vita dhidi ya ugaidi
Jun 08, 2016 23:01Msemaji wa serikali ya Iraq amesisitiza kuwa washauri wa kijeshi wa Iran walioko Iraq walitumwa nchini humo kufuatia ombi la Iraq na kwa uratibu wa Baghad kwa ajili ya kuendesha mapambano dhidi ya ugaidi nchini humo.
-
Iran yasambaratisha makundi 20 ya kigaidi
May 20, 2016 23:26Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesambaratisha zaidi ya makundi 20 ya magaidi ambao walikuwa wamepanga kuripua mabomu na kutekeleza hujuma kadhaa kote nchini katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.
-
Wito wa Iraq kwa Jamii ya Kimataifa kuisaidia katika vita dhidi ya ugaidi
May 16, 2016 03:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq Ibrahim al-Jaafari ameiomba Jamii ya Kimataifa iisaidie nchi yake katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Waalgeria watatu watiwa mbaroni kwa tuhuma za ugaidi
May 07, 2016 11:38Jeshi la Algeria limewatia mbaroni raia watatu wa nchi hiyo kwa tuhuma za kuyasaidia makundi ya kigaidi nchini humo.
-
Iran: Ulaya itoe ushirikiano katika kupambana na ugaidi na utekelezaji wa JCPOA
Apr 30, 2016 11:47Rais Hassan Rouhani ameutaka Umoja wa Ulaya utoe ushirikiano katika mapambano dhidi ya ugaidi na kusisitizia ulazima wa kutekelezwa ipasavyo makubaliano ya nyuklia (JCPOA).