-
Taa ya kijani ya Trump kwa Israel; Je vita vya Gaza vitaanza tena?
Oct 18, 2025 02:29Rais Donald Trump wa Marekani ameionyesha Israel taa ya kijani ili ianzishe tena vita katika Ukanda wa Gaza.
-
Je, ni upi msimamo wa Umoja wa Ulaya kuhusu mpango wa Trump na usitishaji vita huko Gaza?
Oct 13, 2025 02:23Umoja wa Ulaya umeeleza kuwa usitishaji vita huko Gaza ni fursa ya kweli ya kuhitimisha vita vya uharibifu.
-
Jihad Islami: Tunakaribisha mapendekezo kwa ajili ya usitishaji vita wa haraka
May 14, 2025 06:51Msemaji wa harakati ya Jihad Islami ya Palestina ametangaza kuwa wanakaribisha mapendekezo yote yatakayopelekea kusimamishwa vita haraka iwezekanavyo.
-
Kurudi nyuma Marekani katika vita ilivyoanzisha dhidi ya Yemen; matunda ya Muqawama wa Wayemen
May 08, 2025 02:23Msemaji wa harakati ya Muqawama ya Ansarullah, Muhammad Abdul Salam amesema, Yemen haitaiacha Ghaza peke yake licha ya kufikiwa makubaliano ya kusitisha vita, na kwamba Marekani ndiyo iliyoomba kusitishwa mapigano.
-
Waziri Mkuu wa Canada: Hatimaye Trump ataonyesha heshima kwetu na atataka mazungumzo
Mar 22, 2025 11:11Waziri Mkuu wa Kanada Mark Carney amesema mazungumzo mapana ya kibiashara baina ya nchi yake na Marekani hayatafanyika mpaka pale Trump atakapoonyesha heshima kwa uhuru na mamlaka ya kujitawala ya Canada.
-
Hamas: Duru mpya ya mazungumzo ya kusitisha mapigano imeanza
Mar 13, 2025 02:22Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameeleza kuwa duru mpya ya mazungumzo ya kusimamisha vita Ukanda wa Gaza, imeanza.
-
Hamas: Tumejenga upya uwezo wetu kwa vita vyovyote vya siku zijazo
Mar 05, 2025 04:13Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palesina HAMAS amesema kuwa, ingawa uamuzi wa kuanzisha tena vita kwa sasa unaonekana uko mbali, lakini harakati hiyo tayari imejenga upya uwezo wake wa kijeshi ili kukabiliana na vita vyovyote vile vya siku za usoni.
-
Hamas yasisitiza kutekelezwa usitishaji vita kamili
Mar 03, 2025 05:59Mahmoud al Mardawi mmoja wa viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameeleza kuwa abadan harakati hiyo haitakubali kuongezwa muda wa marhala ya kwanza ya makubaliano ya usitishaji vita.
-
Israel inaendelea kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano Lebanon
Feb 16, 2025 14:00Utawala wa Kizayuni wa Israel umeshambulia kusini mwa Lebanon na kudai kuwa umemuua mmoja wa makamanda wa kikosi cha anga cha Hizbullah.
-
Utawala wa Israel umetekeleza uharibifu mkubwa na wa makusudi Gaza
Jan 22, 2025 02:46Katika kipindi hiki cha kutekelezwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza na kuondoka kwa vikosi vya utawala wa Kizayuni wa Israel, maelfu ya Wapalestina wanapaswa kurejea katika. Hata hivyo hakuna nyumba za kurejea kwani Gaza imebaki na magofu tu.