-
Makubaliano ya awali ya pande zinazozozana Sudan kwa ajili ya kusitisha mapigano
May 13, 2023 03:52Hatimaye baada ya siku tatu za mazungumzo magumu ya kurudisha amani nchini Sudan, pande mbili zinazohasimiana zimetia saini taarifa na kukubaliana kuwa maslahi ya watu wa nchi hiyo yapewe kipaumbele. Pande hizo zimekubali kuchukua hatua zote za lazima ili kutowadhuru raia na kuwaruhusu waondoke kwenye maeneo yenye mapigano na yaliyozingirwa.
-
Ijumaa, Mei 12, 2023
May 11, 2023 21:41Leo ni Ijumaa tarehe 21 Mfunguo Mosi Shawwal 1444 Hijria sawa na tarehe 12 Mei mwaka 2023 Milaadia.
-
Jumanne, tarehe 28 Februari, 2023
Feb 27, 2023 22:52Leo ni Jumanne tarehe 7 Shaaban 1444 Hijria inayosadifiana na tarehe 28 Februari mwaka 2023.
-
UN yakaribisha usitishaji vita uliotekelezwa na Russia Ukraine
Jan 07, 2023 04:05Martin Griffiths, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na Masuala ya Kibinadamu, amesema usitishaji mapigano wa upande mmoja uliotekelezwa na Russia ni fursa ya kutuma misaada ya kibinadamu kwa watu katika maeneo yaliyoathiriwa na vita.
-
Wayemen walivyojiimarisha kwa nguvu za kijeshi kuzuia adui asijusuru kuanzisha mashambulio
Sep 09, 2022 21:59Wakati mwaka wa nane wa vita vilivyoanzishwa na muungano wa kijeshi wa Saudi Arabia dhidi ya Yemen ukiwa unaendelea kupita, Wayemen wanazidi kuongeza nguvu na uwezo wao wa kijeshi wa kumzuia adui asithubutu kuanzisha mashambulio dhidi ya nchi hiyo.
-
Alkhamisi, Agosti 18, 2022
Aug 17, 2022 22:13Leo ni Alkhamisi mwezi 20 Mfunguo Nne Muharram 1444 Hijria sawa na Agosti 18 mwaka 2022 Milaadia.
-
Tahadhari kuhusu uwezekano wa kusambaratika usitishaji vita nchini Yemen
Jul 10, 2022 22:04Mahdi al-Mashat, Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen ametahadharisha kuhusu uwezekano wa kuanzishwa tena operesheni za kijeshi, akiashiria ukiukaji vita wa mara kwa mara unaofanywa na muungano wa kijeshi wa Saudia.
-
Usitishaji vita; igizo la usanii inaofanya Saudia Yemen kwa kuutumia vibaya Umoja wa Mataifa
May 09, 2022 21:58Awamu ya kwanza ya ubadilishanaji mateka kati ya Yemen na Saudi Arabia imefanyika katika hali ambayo Riyadh ingali inazuia kufunguliwa tena Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sana'a.
-
Abdollahian: Iran inapinga vita vya Ukraine na eneo lolote duniani
May 08, 2022 21:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuna wajibu wa kufanyika mazungumzo ya kisiasa baina ya Ukraine na Russia kwa ajili ya kukomesha haraka vita huko Ukraine kwani vita si kwa manufaa ya upande wowote.
-
Jumatatu tarehe 17 Januari 2022
Jan 16, 2022 23:08Leo ni Jumatatu tarehe 14 Jamauthani 1443 Hijria sawa na Januari 17 mwaka 2022.