-
Lavrov: Video za "Bucha" ni kisingizio cha kuharibu mazungumzo yanayoendelea Istanbul
Apr 06, 2022 21:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amelilaumu jeshi la Ukraine na idara za usalama za nchi hiyo kwa kubuni mkanda wa video eti ya mauaji ya mji wa Bucha na kuongeza: "Hiki ni kisingizio cha kuvuruga mazungumzo yanayoendelea Istanbul."
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia: Safari ya Rais wa Iran mjini Moscow ina umuhimu mkubwa sana
Jan 20, 2022 22:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema, safari ya Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Moscow ina umuhimu mkubwa sana,.
-
Waziri wa mambo ya nje wa Iran azungumza na wenzake wa Russia, Iraq na Syria
Oct 18, 2019 03:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amefanya mazungumzo ya simu na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Iraq, Russia na Syria ambapo wamejadili kuhusu matukio ya hivi karibuni katika eneo hasa hali ya mambo kaskazini mwa Syria.
-
Lavrov akaribisha ubunifu wa Iran kuhusu eneo la Ghuba ya Uajemi
Oct 03, 2019 00:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametoa wito wa kupewa mazingatio zaidi pendekezo lililotolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Russia: Marekani inakiuka azimio la UN kuhusu Syria
Dec 24, 2018 23:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa Marekkani inaendelea kukiuka azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya kujitawala na uhuru wa Syria.
-
Jitihada za ulaya za kulinda mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Nov 28, 2018 23:35Mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji, JCPOA, ambayo yalifikiwa Julai mwaka 2015 baina ya Iran na kundi la 5+1 yalikuwa mapatano muhimu sana katika uga wa kulinda amani na usalama wa kimataifa.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia: Lugha ya Vitisho Haitatui Matatizo ya Kimataifa
May 31, 2018 02:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov amesema masuala ya nyuklia ya Iran, Korea Kaskazini na mgogoro wa Ukraine ni masuala ambayo hayawezi kutatuliwa kwa lugha ya vitisho.
-
Lavrov atoa onyo kali kwa nchi za Magharibi
Mar 28, 2018 02:20Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia amesema kuwa Moscow haitanyamaza kimya mbele ya hatua ya nchi za Magharibi ya kuwafukuza wanadiplomasia wa nchi hiyo.
-
Korea Kusini: Russia isitutupe mkono katika juhudi za kufungua mahusiano na Korea Kaskazini
Mar 14, 2018 04:23Serikali ya Korea Kusini, kupitia Mshauri wa Masuala ya Usalama wa Taifa wa nchi hiyo ameitaka Russia kuiunga mkono Seoul kwa ajili ya kupatikana mahusiano mema na viongozi wa Korea Kaskazini.
-
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni ya Iran na Russia wajadili masuala mbalimbali
Mar 01, 2018 23:47Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu na kujadili masuala mbalimbali ya uhusiano wa pande mbili, ya kieneo na kimataifa.