-
Onyo la UN kuhusu matumizi mabaya ya zana za kiraia kwa madhumuni ya kigaidi
Sep 19, 2024 23:00Kufuatia wimbi kubwa la milipuko ya kigaidi nchini Lebanon ambayo imelenga vifaa vya mawasiliano kama vile pager, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema vifaa vya kiraia havipaswi kugeuzwa kuwa silaha.
-
Rais wa Iran atoa mkono wa pole kwa wananchi wa Lebanon kufuatia jinai ya juzi ya Wazayuni
Sep 19, 2024 03:22Rais wa Iran ametoa mkono wa pole kwa wananchi wa Lebanon kufuatia jinai ya juzi ya Wazayuni nchini humo ambapo raia kadhaa wa nchi hiyo wameuawa shahidi na wengine wengi kujeruhiwa.
-
Qalibaf: Ugaidi ni sehemu ya hulka ya kutenda maovu ya utawala wa Kizayuni wa Israel
Sep 18, 2024 08:17Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amekutaja kuuwa watu wasio na hatia kuwa ni sehemu isiyotenganishika ya tabia na hulka ya kutenda maovu ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Tehran, Beirut zajadili jinai mpya ya kigaidi ya Israel huko Lebanon
Sep 17, 2024 23:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amelaani vikali hujuma mpya ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni iliyowalenga raia wasio na hatia nchini Lebanon.
-
Iran yaionya Israel dhidi ya 'chokochoko mpya' kuhusu Lebanon
Jul 29, 2024 22:57Nasser Kan'ani, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametahadharisha dhidi ya chokochoko mpya za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Lebanon kwa kisingizio cha tukio la Majdal Shams katika eneo linalokaliwa kwa mabavu na utawala huo la Golan nchini Syria.
-
Jeshi la utawala wa Kizayuni lafanya shambulio la anga kusini mwa Lebanon
Jul 29, 2024 02:47Ndege za kivita za jeshi la utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine tena zimeshambulia kwa mabomu maeneo tofauti ya kusini mwa Lebanon.
-
Balozi wa Iran Lebanon: Iran daima inaunga mkono amani na utulivu katika eneo
Jul 28, 2024 04:16Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Lebanon amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haifuatilii vita na daima imekuwa ikiunga mkono amani na utulivu katika eneo la Asia Magharibi.
-
Lebanon: Hizbullah haijahusika na shambulio la roketi Golan
Jul 28, 2024 03:24Viongozi mbali mbali wa Lebanon wamekanusha vikali madai ya utawala wa Kizayuni wa Israel na vyombo vya habari vya Magharibi eti Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imehusika na shambulio la roketi katika Miinuko ya Golan.
-
Kiongozi wa Hamas asisitiza kudumisha utulivu huko Lebanon
Jul 17, 2024 23:00Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amesisitiza juu ya kudumisha amani na usalama huko Lebanon.
-
Sayyid Hassan Nasrullah: Israel inapitia siku mbaya zaidi
Jul 11, 2024 03:31Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema katika hotuba yake kuwa Utawala wa Kizayuni unapitia siku mbaya zaidi za historia yake bandia na kuwa mwishowe utawala huo utalazimika kusimamisha vita huko Ukanda wa Gaza.