-
Sayyid Nasrullah: Jinai za Israel Ghaza zimeamsha hisia za utu katika nchi za Magharibi
Jul 08, 2024 07:12Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, jinai kubwa na ambazo hazijawahi kushuhudiwa mfano wake zinazofanywa na utawala katili wa Israel huko Ghaza, zimeamsha hisia za utu na ubinadamu katika nchi za Magharibi.
-
Mashambulizi ya Ndege zisizo na Rubani za Israel kwenye kambi ya Noor Shams
Jul 03, 2024 22:49Ripoti zinasema kuwa, Wapalestina wanne wameuawa shahidi katika shambulio la ndege zisizo na rubani za Israel kwenye kambi ya Noor Shams kwenye Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Guterres: Dunia haiwezi kustahamili Lebanon iwe Gaza nyingine
Jun 22, 2024 07:02Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameelezea wasi wasi mkubwa alionao kutokana na kushtadi taharuki baina ya Harakati ya Hizbullah ya Lebanon na utawala wa Israel na kusisitiza kuwa, dunia haiwezi kuvumilia Lebanon igeuzwe Gaza nyingine.
-
Mamia ya Walebanon wameuawa shahidi katika mashambulio ya utawala wa Kizayuni
Jun 06, 2024 03:20Wizara ya Afya ya Lebanon imetangaza kuwa watu 400 wameuawa shahidi tangu jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel lilipoanzisha mashambulizi dhidi ya nchi hiyo mwezi Oktoba, 2023.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu asisitiza kuendelea ushirikiano kati ya Iran na Qatar
May 23, 2024 01:32Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika kikao na "Tamim bin Hamad Al-Thani" Amir wa Qatar na ujumbe aliofuatana nao, ameishukuru Qatar kwa rambirambi zake katika msiba wa kufa shahidi Sayyid Ebrahim Raisi na mashahidi wenzake, na kusisitiza haja ya kuendelea ushirikiano kati ya nchi hizi mbili.
-
"Kuna haja ya kuitetea Gaza katika Hija ya mwaka huu"
May 17, 2024 03:40Rais wa Chuo cha Da'awa ya Kiislamu cha Lebanon amesema ibada ya Hija ya mwaka huu ina umuhimu wa kipekee wakati huu ambapo Wazayuni wanaendelea kumwaga damu za Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa, "Kuna haja ya kuitetea Gaza katika Hija ya mwaka huu."
-
HRW yaikosoa Marekani kwa kuupa silaha utawala wa Kizayuni
May 07, 2024 22:54Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limetangaza katika ripoti yake kuwa Israel imetumia silaha kutoka Marekani katika mashambulizi yake dhidi ya eneo la al Habariyeh huko Lebanon.
-
Ebrahim Raisi: Wazayuni wataelewa maana halisi ya majibu ya Iran
Apr 17, 2024 03:18Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, iwapo Israel itafanya kosa jingine lolote dhidi ya Iran, basi Wazayuni na waungaji mkono wao wataelewa maana halisi ya majibu ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Jumatatu, Februari 19, 2024
Feb 18, 2024 22:55Leo ni Jumatatu tarehe 9 Sha'ban 1445 Hijria sawa na tarehe 19 Februari mwaka 2024.
-
Lebanon kuishtaki Israel katika Baraza la Usalama kwa kuishambulia kwa droni
Feb 15, 2024 23:16Serikali ya Lebanon imesema itawasilisha faili la malalamiko dhidi ya Israel katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, kufuatia hatua ya utawala huo wa Kizayuni kufanya shambulio hatarishi la ndege zisizo na rubani na kuua watu kadhaa kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.