-
Nasrullah: Utawala wa Trump ndio mbaya zaidi katika historia ya Marekani
Nov 12, 2020 03:57Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa rais anayeondoka wa Marekani, Donald Trump ndiyo serikali mbaya zaidi katika historia ya nchi hiyo.
-
Sababu za kucheleweshwa kuundwa baraza jipya la mawaziri Lebanon
Nov 05, 2020 23:02Matarajio ya kuundwa baraza jipya la mawaziri nchini Lebanon yameambulia patupu baada ya zoezi hilo kuahirishwa. Ilitarajiwa kuwa, Waziri Mkuu wa Lebanon Saad Hariri angeunda baraza jipya la mawaziri katika siku chache zilizopita.
-
Kurudi tena Saad Hariri; 'mwokozi' mkoroga jungu la migogoro ya ndani Lebanon
Oct 23, 2020 23:06Kwa mara nyingine tena, Saad Hariri amekuwa Waziri Mkuu wa Lebanon baada ya bunge kumpigia kura ya kuwa na imani naye.
-
Hariri ateuliwa tena kuwa Waziri Mkuu wa Lebanon, mwaka mmoja baada ya kujiuzulu
Oct 23, 2020 03:58Saad Hariri ameteuliwa tena kuwa Waziri Mkuu wa Lebanon na sasa ametakiwa kuunda serikali yake ya nne, mwaka mmoja baada ya kuachia ngazi.
-
Kuendelea taharuki ya kisiasa Lebanon mwaka mmoja baada ya maandamano ya Oktoba 2019
Oct 22, 2020 04:46Oktoba 17, 2019 Lebanon ilianza kushuhudia maandamano ya wananchi ambayo yalipelekea kujiuzulu aliyekuwa waziri mkuu wa wakati huo Saad Hariri; lakini baada ya kupita mwaka mzima, hadi hivi sasa nchi hiyo ingali inahangaika kumpata waziri mkuu mwingine mpya, ambaye kama atatangazwa atakuwa ni wa nne katika kipindi hiki cha mwaka mmoja.
-
Mazungumzo ya Lebanon na Israel kuhusu mpaka; hitilafu za kimpaka na malengo ya kisiasa
Oct 15, 2020 06:40Duru ya kwanza ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya jumbe za mazungumzo za Lebanon na utawala haramu wa Israel ilifanyika jana Jumanne Oktoba 13 na yamepangwa kuendelea wiki mbili zijazo.
-
Sera za kuingilia kati za Macron nchini Lebanon
Sep 28, 2020 06:02Matukio ya Kisiasa ya hivi karibuni nchini Lebanon hususan baada ya mlipuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Beirut mwezi Agosti mwaka huu ambao umepelekea kujiuzulu serikali ya nchi hiyo yametayarisha mazingira ya uingiliaji wa nchi za Magharibi hususan Ufaransa na Marekani katika masuala ya ndani ya nchi hiyo
-
Kushindwa Mustapha Adib kuunda serikali nchini Lebanon; sababu na matokeo yake
Sep 27, 2020 04:15Waziri Mkuu wa Lebanon, Mustapha Adib ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo, baada ya kushindwa kuunda serikali na tayari Rais Michel Aoun amekubali kujiuzulu kwake.
-
Waziri Mkuu wa Lebanon ajiuzulu baada ya kushindwa kuunda serikali
Sep 26, 2020 08:46Waziri Mkuu wa Lebanon, Mustapha Adib ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo, baada ya kushindwa kuunda serikali.
-
Walebanon waandamana dhidi ya hatua ya Imarati na Bahrain ya kuanzisha uhusiano na Israel
Sep 24, 2020 08:29Maelfu ya wananchi wa Lebanon wameandamana katika mji mkuu Beirut na kutangaza upinzani wao dhidi ya hatua yoyote ile ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.