-
Amnesty International yataka kufanyike uchunguzi kuhusu mlipuko wa Beirut
Aug 06, 2020 05:02Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa kuhusu mlipuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Beirut nchini Lebanon.
-
Josep Borrell atoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Lebanon kufuatia mlipuko wa Beirut
Aug 06, 2020 03:28Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya ametoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Lebanon kufuatia kujiri mlipuko katika bandari ya mji mkuu Beirut.
-
Rais wa Lebanon: Tutawapa adhabu kali waliosababisha kutokea mripuko wa Beirut
Aug 05, 2020 23:58Rais Michel Aoun wa Lebanon amesisitiza ulazima wa kufanyika uchunguzi haraka iwezekanavyo ili kubaini nini hasa kilichotokea kuhusiana na tukio la mripuko wa Jumanne katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut.
-
Iran yatuma misaada ya chakula na dawa Lebanon
Aug 05, 2020 06:30Hilali Nyekundu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma shehena ya kwanza ya misaada ya dharura ya dawa, vifaa vya tiba na chakula nchini Lebanon kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa mlipuko wa jana mjini Beirut.
-
Kujiuzulu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Lebanon; duru mpya ya ukwamishaji mambo dhidi ya serikali ya Hassan Diab
Aug 04, 2020 06:49Nassif Hitti, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Lebanon Jumatatu ya jana tarehe 3 Agosti alitangaza kujiuzulu wadhifa huo.
-
Waziri wa Ulinzi: Lebanon iko tayari kukabiliana na hujuma ya utawala wa Kizayuni
Aug 02, 2020 23:09Waziri wa Ulinzi wa Lebanon amesema jeshi la nchi yake liko tayari kabisa kukabiliana na uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrullah kuhusu hali ya ndani na ya siasa za kigeni ya Lebanon
Jul 09, 2020 02:31Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon Jumanne usiku alitoa hotuba muhimu na kuzungumzia hali ya ndani na siasa za kigeni za nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Jeshi la Lebanon lajiweka sawa baada ya askari wa Israel kwenda mpakani
Jun 19, 2020 23:27Jeshi la Lebanon limejiweka katika hali ya tahadhari baada ya kuripotiwa uwepo wa makumi ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mpaka wa nchi hiyo ya Kiarabu na Palestina.
-
Njama mpya nchini Lebanon; fitina za kimadhehebu kwa mbinu za kisiasa
Jun 10, 2020 08:59Katika siku za karibuni Lebanon kwa mara nyingine imekuwa ikishuhudia machafuko ambapo watu wa kushukiwa na kutiliwa shaka wamekuwa wakimiminika mitaani na kupiga nara za kichochezi na za fitiza za kimadhehebu pamoja na kukabiliana na walinda amani nchini humo.
-
Larijani: Kukombolewa kusini mwa Lebanon ulikuwa mwanzo wa mabadiliko makubwa Asia Magharibi
May 25, 2020 07:43Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, kukombolewa kusini mwa Lebanon ulikuwa mwanzo wa mabadiliko makubwa na muhimu katika eneo la Asia Magharibi mabadiliko ambayo kwa taufiki ya Mwenyezi Mungu yataishia kwenye kukombolewa Quds na ardhi zote zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.