-
Ndege za kivita za Israel zakiuka anga ya Lebanon
Aug 20, 2019 08:50Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimeingia kinyume cha sheria katika anga ya Lebanon hatua ambayo inakiuka azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Mafanikio na matokeo ya vita vya siku 33 kwa mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrallah
Aug 18, 2019 03:53Sayyid Hassan Nasrallah Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Ijumaa alihutubu kwa mnasaba wa mwaka wa 13 wa ushindi katika vita vya siku 33 mwaka 2006.
-
Aoun: Kuiwekea vikwazo Hizbullah ni kuivunjia heshima Lebanon
Jul 11, 2019 06:52Rais wa Lebanon amesema kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya wawakilishi wa harakati ya Hizbullah ya nchi hiyo ni sawa na kuivunjia heshima Lebanon.
-
Kufeli kikao cha Manama, sababu iliyomfanya Kushner ajaribu kuirubuni Lebanon ikubali "Muamala wa Karne"
Jul 02, 2019 02:39Baada ya kushindwa njama zake za kuiangamiza kadhia ya Palestina kupitia kikao cha Manama, mji mkuu wa Bahrain; cha kufungua mpango wake wa "Mualama wa Karne," hivi sasa Jared Kushner, mshauri na mkwe wa rais wa Marekani, Donald Trump, ameelekeza nguvu zake upande wa Lebanon, kujaribu kuirubuni nchi hiyo ya Kiarabu ikubaliane na mpango wake huo.
-
Wanazuoni wa Kiislamu wa Lebanon, Palestina wasusia 'Muamala wa Karne'
Jun 24, 2019 08:18Wanazuoni na wasomi wa Kiislamu wa Lebanon na Palestina wamelaani njama ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina iliyopewa jina la 'Muamala wa Karne'.
-
Rais Michel Aoun: Njama zote za kutaka kuibua machafuko zitapata jibu kali
Jun 04, 2019 08:32Rais Michel Aoun wa Lebanon ametoa radiamali yake kufuatia shambulizi la kigaidi lililofanyika Tripoli nchini humo na kusema kuwa, hatua yoyote mbaya yenye lengo la kuibua ghasia ndani ya taifa hilo, itakabiliwa na jibu kali.
-
Rouhani: Mapambano ndiyo njia pekee ya kuwakabili wavamizi
May 27, 2019 02:54Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kuwanyooshea mkono wa pongezi wananchi wa Lebanon kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kukombolewa maeneo ya kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu kutoka kwenye makucha ya utawala wa Kizayuni wa Israel, amesisitiza kuwa muqawama ndiyo njia pekee ya kukabiliana na wavamizi.
-
Nasrallah: Wote wanawajibika kukabiliana na mpango wa 'Muamala wa Karne"
May 26, 2019 01:57Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema: "Wote wanawajibika kukabiliana na mpango wa Marekani wa "Muamala wa Karne" ambao lengo lake ni kusambaratisha kadhia ya Palestina.
-
Hizbullah: Israel itaangamia ikithubutu kuishambulia Lebanon
May 03, 2019 03:15Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon ameutahadharisha utawala wa Tel Aviv dhidi ya kuanzisha vita vipya dhidi ya Lebanon na kusisitiza kuwa, wanajeshi wa utawala haramu wa Israel watasambaratishwa na kuangamizwa iwapo vita hivyo vitaibuka.
-
Hizbullah: Lengo letu ni kuuangamiza utawala wa kizayuni wa Israel
Apr 20, 2019 03:37Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, njia ya harakati hiyo ni kufuata maktaba ya Uislamu na kuuangamiza utawala ghasibu wa Israel unaoikalia kwa mabavu Beituul-Muqaddas.