Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Hizbullah: Utawala haramu wa Israel ndio chimbuko kuu la ugaidi duniani

    Hizbullah: Utawala haramu wa Israel ndio chimbuko kuu la ugaidi duniani

    Apr 19, 2019 23:54

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini lebanon, Sheikh Naim Qassem amesema kuwa, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ndio chanzo kikuu cha ugaidi na uharibifu katika eneo la Asia Magharibi na duniani kwa ujumla.

  • Umoja wa Mataifa: Hali ya kibinadamu nchini Yemen inasikitisha mno

    Umoja wa Mataifa: Hali ya kibinadamu nchini Yemen inasikitisha mno

    Apr 16, 2019 10:13

    Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi mkubwa ulionao kutokana na kutoridhisha kabisa hali ya kibinadamu nchini Yemen

  • Rais wa Lebanon: Tangazo la Trump kuhusu miinuko ya Golan na Quds ni kinyume na maazimo ya kimataifa

    Rais wa Lebanon: Tangazo la Trump kuhusu miinuko ya Golan na Quds ni kinyume na maazimo ya kimataifa

    Apr 11, 2019 23:55

    Rais Michel Aoun wa Lebanon kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, tangazo la Rais Donald Trump wa Marekani kuhusiana na umiliki wa utawala vamizi wa Israel kwa miinuko ya Golan ya Syria linakinzana na maazimio ya kimataifa.

  • Nasrullah: Hatua ya Trump ya kuitambua miinuko ya Golan kuwa mali ya Israel ni kuutusi Ulimwengu wa Kiislamu

    Nasrullah: Hatua ya Trump ya kuitambua miinuko ya Golan kuwa mali ya Israel ni kuutusi Ulimwengu wa Kiislamu

    Mar 27, 2019 03:36

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuitambua rasmi miinuko ya Golan kuwa ni mali na miliki ya utawala haramu wa Israel ni kuzitusi na kuzivunjia heshima nchi za Ulimwengu wa Kiislamu na Kiarabu.

  • Dunia yaendelea kumpinga Trump kuhusu miinuko ya Golan ya Syria

    Dunia yaendelea kumpinga Trump kuhusu miinuko ya Golan ya Syria

    Mar 26, 2019 10:03

    Viongozi mbalimbali wa dunia wameendelea kutoa radiamali kali ya kupinga tangazo la urasimishaji la Rais Donald Trump wa Marekani kwa miinuko ya Golan ya Syia kwamba ni milki ya utawala haramu wa Kizayuni Israel.

  • Hizbullah: Hatutorudi nyuma katika kuwalinda raia wa Lebanon kutokana na hujuma za Israel

    Hizbullah: Hatutorudi nyuma katika kuwalinda raia wa Lebanon kutokana na hujuma za Israel

    Mar 25, 2019 03:29

    Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon amesisitiza kwamba muqawama huo hautoachana na majukumu ya kuwalinda raia wa Lebanon kutokana na hujuma za utawala katili wa Israel.

  • Spika wa Bunge la Lebanon: Eneo lote la Quds ni mji mkuu wa Palestina

    Spika wa Bunge la Lebanon: Eneo lote la Quds ni mji mkuu wa Palestina

    Mar 11, 2019 23:24

    Spika wa Bunge la Lebanon kwa mara nyingine tena amesisitiza msimamo wa nchi yake kuhusiana na kuiunga mkono Baytul -Muqaddas na Palestina na kusema kuwa, eneo lote la Quds Tukufu ni mji mkuu wa nchi ya Palestina.

  • Marekani yakasirishwa na misimamo ya serikali ya Lebanon ya kuiunga mkono Hizbullah

    Marekani yakasirishwa na misimamo ya serikali ya Lebanon ya kuiunga mkono Hizbullah

    Mar 10, 2019 23:09

    Duru za kidiplomasia zimearifu kuwa Marekani imekasirishwa na hairidhishwi na misimamo ya viongozi wa serikali ya Lebanon ya kuiunga mkono harakati ya muqawama ya nchi hiyo Hizbullah.

  • Lebanon yamtia nguvuni jasusi wa utawala haramu wa Israel

    Lebanon yamtia nguvuni jasusi wa utawala haramu wa Israel

    Jan 23, 2019 04:23

    Jeshi la Lebanon limemtia mbaroni ajenti wa Shirika la Ujasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel (Mossad) aliyehusika katika shambulizi la bomu kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Kongamano la kulaani jinai za serikali ya Bahrain lafanyika Beirut

    Kongamano la kulaani jinai za serikali ya Bahrain lafanyika Beirut

    Jan 17, 2019 04:14

    Washiriki wa Kongamano la Kimataifa la kulaani jinai za utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain wamekosoa kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya ukandamizaji wa serikali ya Manama kwa raia wake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS