-
Lebanon: Ugaidi wa ukufurishaji na ugaidi wa Israel hatima yao ni moja
Jan 08, 2019 11:18Mkuu wa Usalama wa Umma nchini Lebanon amesema, hakuna tofauti kati ya ugaidi wa ukufurishaji na ugaidi utawala wa Kizayuni wa Israel, na akasisitiza kwamba ugaidi wa Israel, kama zilivyo aina nyingine za ugaidi, nao pia uko katika hali ya kutokomea.
-
Lebanon kuishtaki Israel Baraza la Usalama la UN
Dec 27, 2018 03:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon amemtaka mwakilishi wa kudumu wa nchi hiyo katika Umoja wa Mataifa kuwasilisha mashtaka dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Baraza la Usalama la umoja huo baada ya utawala huo kutumia anga ya Lebanon katika mashambulizi yake nchini Syria.
-
Hizbullah: Quds tukufu haiwezi kugawanyika
Nov 25, 2018 04:37Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema ni muhali na jambo lisiloyumkinika kuugawanya mara mbili mji mtukufu wa Quds (Jerusalem).
-
Lebanon yapinga matamshi ya kichochezi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Nov 02, 2018 23:25Rais wa Lebanon amesema kuwa sababu ya kuundwa harakati ya Hizbullah nchini humo ni uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya ardhi ya Lebanon. Michel Aoun amesma hayo akijibu matamshi yaliyotolewa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Mataifa, Antonio Guterres aliyedai kuwa, Hizbullah inaielekeza Lebanon katika vita. Rais wa Lebanon amesisitiza kuwa nchi hiyo haiwezi kusahau historia yake.
-
Spika wa Bunge Lebanon: Anga ya kuundwa serikali mpya nchini ni chanya sana
Oct 27, 2018 23:03Spika wa Bunge nchini Lebanon amesema kuwa, anga kwa ajili ya kuundwa serikali mpya ni chanya sana na yenye kutia matumaini.
-
Rais Aoun: Serikali ya Lebanon kuundwa katika kipindi kifupi kijacho
Oct 18, 2018 10:38Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema serikali mpya ya nchi hiyo itaundwa katika kipindi kifupi kijacho.
-
Vikwazo vya kongresi ya Marekani dhidi ya Hizbullah ya Lebanon
Oct 13, 2018 08:25Katika kuendelea jitihada za Marekani za kukabiliana na harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon; kongresi ya nchi hiyo imepasisha mswada wa kuiwekea vikwazo vipya harakati hiyo.
-
Lebanon yasambaratisha njama ya Daesh ya kuweka sumu katika maji ya kunywa
Sep 28, 2018 04:26Vyombo vya usalama vya Lebanon vimetangaza habari ya kusambaratishwa njama ya genge la kigaidi la Daesh (ISIS) ambalo lilitaka kuweka sumu ndani ya maji ya kunywa ya wanajeshi wa nchi hiyo.
-
Saudia inapanga njama ya kuvihamishia Lebanon vita ilivyoanzisha dhidi ya Yemen
Aug 27, 2018 03:16Gazeti la Al-Akhbar limefichua kuwa Saudi Arabia inapanga njama mpya ya kuvihamishia Lebanon vita ilivyoanzisha dhidi ya Yemen.
-
Maulamaa wa Lebanon watangaza mshikamamo wao kwa Iran mkabala na vikwazo vya Marekani
Aug 15, 2018 10:32Maulama wa kidini wa nchini Lebanon wamelaani mashinikizo na vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitiza kuwa wanaiunga mkono kikamilifu Tehran.