-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia aingilia masuala ya ndani ya Lebanon
Nov 10, 2017 04:48Ikiwa imepita karibu wiki moja baada ya Saad Hariri kujiuzulu nafasi ya Waziri Mkuu wa Lebanon, Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia ameibuka na kudai kuwa Riyadh haitoruhusu Lebanon iwe chanzo cha kusumbuliwa Saudi Arabia.
-
Chama cha Hariri: Hatutambui kujiuzulu Saad Hariri, anapaswa kurudi Lebanon haraka
Nov 09, 2017 13:50Chama cha al-Mustaqbal kinachoongozwa na Saad al-Hiriri, Waziri Mkuu wa Lebanon aliyetangaza kujiuzulu wadhifa huo Jumamosi iliyopita huko Saudia, kimesema kuwa bado kinamtambua kuwa ni waziri mkuu wa Lebanon.
-
Bunge: Shughuli za serikali ya Lebanon zitaendelea licha ya kujiuzulu Hariri
Nov 09, 2017 04:31Spika wa Bunge la Lebanon amesema shughuli za Baraza la Mawaziri la nchi hiyo zitaendelea kama kawaida licha ya kujiuzulu Waziri Mkuu, Saad Hariri.
-
Misri yakataa kuburuzwa na Saudia; yapinga vikwazo dhidi ya Hizbullah ya Lebanon
Nov 08, 2017 04:22Rais Abdel Fattah el Sisi wa Misri amesisitiza kuwa, licha ya Saudi Arabia kuzitaka nchi za Kiarabu ziiwekee vikwazo Hizbullah ya Lebanon lakini Cairo haina nia kabisa ya kufanya hivyo.
-
Rais wa Lebanon akataa ombi la kujiuzulu Hariri, amtaka arejee nchini
Nov 05, 2017 23:15Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema atakubali ombi la Waziri Mkuu wa nchi hiyo Saad Hariri la kujiuzulu kwa sharti kiongozi huyo aliyeko Saudi Arabia kwa sasa arejee nchini na atoe ufafanuzi wa kina.
-
Iran yakanusha madai ya Trump ya kuipatia Yemen makombora
Nov 05, 2017 11:28Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amekanusha madai yasiyo na msingi ya Rais wa Marekani kuwa eti Yemen imepokea makombora kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Qassemi: Kujiuzulu Hariri na matamshi aliyotoa ni hila nyengine ya kuzusha fitna na mivutano katika eneo
Nov 05, 2017 04:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kujiuzulu Saad Hariri wadhifa wa uwaziri mkuu wa Lebanon ni ishara ya hila mpya inayofanywa ili kuzusha mivutano ndani ya Lebanon na eneo la Mashariki ya Kati.
-
Saad Hariri ajiuzulu uwaziri mkuu wa Lebanon akiwa safarini nchini Saudia
Nov 04, 2017 12:37Waziri Mkuu wa Lebanon Saad Hariri ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo katika hotuba aliyotoa akiwa nchini Saudi Arabia.
-
Ukosoaji wa Walebanon kwa misimamo ya uzushaji fitina ya viongozi wa Saudi Arabia
Nov 03, 2017 00:39Jumuiya ya Maulama wa Kiislamu wa Lebanon imeyataja kuwa ya kushangaza matamshi ya Thamer al Sabhan, Waziri Mshauri wa Saudi Arabia katika Masuala ya Eneo la Ghuba ya Uajemi kuhusu kunyamaza kimya serikali na taifa la Lebanon mbele ya siasa za Hizbullah ya Lebanon na kueleza kwamba, matamshi hayo ni ya kuchochea vita vya ndani.
-
Rais wa Lebanon: Iran ni nchi yenye nguvu katika eneo la Mashariki ya Kati
Oct 31, 2017 04:19Rais Michel Aoun wa Lebanon amesisitiza kuwa Iran ni nchi yenye nguvu katika eneo la Mashariki ya Kati na kwamba nafasi ya Tehran katika matukio ya eneo hilo haiwezi kupuuzwa.