-
Maulama wa Suni na Shia Lebanon wasisitizia mapambano dhidi ya ugaidi
Oct 21, 2017 12:54Maulama wa Kiislamu wa madhehebu za Shia na Suni nchini Lebanon wanesema kuwa kufeli mradi kabambe wa Marekani na Israel kupitia ugaidi, hakuna maana ya kumalizika kwa vita na wametoa wito wa kuendelezwa muqawama kwa ajili ya vita vya baadaye.
-
Saudia yaendeleza njama dhidi ya makundi yanayopambana na Israel
Oct 10, 2017 23:04Jumuiya ya vyama vya siasa nchini Lebanon umetangaza kuwa, matamshi yaliyotolewa na Waziri Mshauri katika Masuala ya Ghuba ya Uajemi wa Saudi Arabia kuhusu harakati ya Hizbullah ya Lebanon yanaakisi siasa za utawala wa kifalme wa nchi hiyo dhidi ya kambi inayopambana na utawala haramu wa Isarel.
-
Lebanon yakamata genge la majasusi wa Mossad
Oct 07, 2017 23:11Vikosi vya usalama vya Lebanon vimetangaza kukamata genge lenye mfungamano na shirika la kijasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel, Mossad.
-
Jeshi la Lebanon: Vitisho vya Israel havitutishi
Sep 23, 2017 12:00Kamanda wa Jeshi la Lebanon ametangaza kuwa jeshi la nchi hiyo liko tayari kukabiliana na aina yoyote ya vitisho vya jeshi la utawala haramu wa Israel.
-
Sayyid Hassan Nasrullah tumejiweka imara kukabiliana na adui hata ikiwa ni Marekani
Sep 22, 2017 04:13Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa harakati hiyo haitaki vita, lakini ikiwa itashambuliwa basi itasimama imara kukabiliana vikali na adui hata kama atakuwa ni Marekani.
-
Saudia yaishinikiza Kuwait imkatae balozi wa Lebanon ambaye ni Mwislamu wa Shia
Sep 09, 2017 11:59Utawala wa Saudi Arabia umeendeleza mashinikizo mbalimbali dhidi ya serikali ya Kuwait, ikiitaka nchi hiyo kuikataa barua ya utambulisho wa Rayan Said, balozi wa Lebanon ambaye ni Mwislamu wa Shia aliyetumwa nchini humo.
-
Saudia yawatishia Walebanon kwa hatua yao ya kuiunga mkono Hizbullah
Sep 05, 2017 03:16Saudi Arabia imetoa radiamali ikijibu nafasi ya hivi karibuni ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Hizbullah ya kutoa pigo kwa makundi ya kigaidi mashariki mwa nchi hiyo kwa kuwatishia wananchi wa Lebanon kutokana na hatua yao ya kuiunga mkono harakati hiyo ya Kiislamu.
-
Hizbullah: Tutaendelea kuweko Syria hadi hatari ya magaidi itakapoondoka
Sep 04, 2017 22:05Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo ya mapambano ya Kiislamu ambayo iko Syria kwa ombi la serikali ya nchi hiyo, itabakia nchini humo hadi pale hatari ya ugaidi itakapoondoka.
-
Lebanon yakanusha madai ya kuwepo viwanda vya makombora vya Iran nchini humo
Sep 02, 2017 03:01Waziri Mkuu wa Lebanon amekadhibisha madai yaliyotolewa na utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatengeneza viwanda vya kuzalisha makombora katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Jeshi la Lebanon lawekwa mpakani baada ya Madaesh kutimuliwa kwenye mpaka wa nchi hiyo na Syria
Aug 29, 2017 22:41Kufuatia kutimuliwa magaidi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) linalopata uungaji mkono wa Marekani, Israel na Saudia katika mpaka wa pamoja wa Syria na Lebanon, Jumanne ya jana jeshi la Lebanon lilituma askari wake katika miinuko ya Al-Qalamoun walipokuwako magaidi hao wakufurishaji.