Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Magaidi wa Daesh (ISIS) wajisalimisha kwa Hizbullah ya Lebanon

    Magaidi wa Daesh (ISIS) wajisalimisha kwa Hizbullah ya Lebanon

    Aug 27, 2017 10:08

    Wapiganaji wenye silaha wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) wamejisalimisha kwa vikosi vya muqawama baada ya vikosi hivyo kuwakaribia magaidi hao katika eneo la mpaka wa pamoja wa Lebanon na Syria.

  • Sayyid Nasrullah: Mapambano dhidi ya ugaidi yataendelea Lebanon

    Sayyid Nasrullah: Mapambano dhidi ya ugaidi yataendelea Lebanon

    Aug 24, 2017 23:53

    Katibu Mkuu wa chama cha Hizbullah cha nchini Lebanon amesema kuwa, mapambano katika milima ya mpakani mwa nchi hiyo na Syria yataendelea hadi yatakapoangamizwa kikamilifu magenge ya kigaidi.

  • Émile Lahoud: Kusimama kidete Lebanon mkabala na Israel kulitimia kwa himaya ya Iran

    Émile Lahoud: Kusimama kidete Lebanon mkabala na Israel kulitimia kwa himaya ya Iran

    Aug 23, 2017 22:03

    Émile Lahoud Rais wa zamani wa Lebanon amesema kuwa, muqawama wa Lebanon uliweza kusimama kidete mbele ya mashambulio ya utawala ghasibu wa Israel kutokana na himaya na uungaji mkono wa Jamhuri ya kiislamu ya Iran.

  • Umoja wa Kiislamu, njia pekee ya kukabiliana na magaidi wakufurishaji na Wazayuni

    Umoja wa Kiislamu, njia pekee ya kukabiliana na magaidi wakufurishaji na Wazayuni

    Aug 23, 2017 09:16

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema njia pekee ya kukabiliana na vitisho viwili vya magaidi wakufurishaji na Wazayuni ni kuwepo umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu duniani.

  • Maulama ya Kisuni na Kishia wataka kuweko vita vya kweli dhidi ya magaidi barani Afrika

    Maulama ya Kisuni na Kishia wataka kuweko vita vya kweli dhidi ya magaidi barani Afrika

    Aug 18, 2017 10:35

    Maulama wa Kisuni na Kishia wa Lebanon wamesisitiza udharura wa kuweko vita vya kweli na vyenye mpangilio dhidi ya magaidi katika nchi za Kiafarika.

  • Rais wa zamani wa Lebanon: Yemen itashinda vita kama vile Iraq na Syria zilivyowashinda magaidi

    Rais wa zamani wa Lebanon: Yemen itashinda vita kama vile Iraq na Syria zilivyowashinda magaidi

    Aug 17, 2017 23:46

    Rais wa zamani wa Lebanon Émile Lahoud amesema kuwa, Wayemen wataibuka washindi dhidi ya vibaraka wa Saudi Arabia, kama ambavyo Syria na Iraq zimepata ushindi dhidi ya magaidi na waungaji wao mkono.

  • Larijani apongeza ushindi wa Hizbullah ya Lebanon katika vita vya siku 33

    Larijani apongeza ushindi wa Hizbullah ya Lebanon katika vita vya siku 33

    Aug 15, 2017 23:32

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ametuma ujumbe tofauti kwa Nabih Berri Spika wa Bunge la Lebanon na Sayyid Hassan Nasrullah Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya nchi hiyo kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Lebanon katika vita vya siku 33.

  • Hizbullah: Lebanon sio nchi tena inayoogopa kupambana na utawala wa Israel

    Hizbullah: Lebanon sio nchi tena inayoogopa kupambana na utawala wa Israel

    Aug 14, 2017 07:45

    Mjumbe wa Baraza Kuu la harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Nabil Qaouk amesema kuwa Lebanon sio taifa ambalo linaogopa kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel au magenge ya ukufurishaji.

  • Sayyid Hassan Nasrullah: Israel itashindwa vibaya na kufedheheka katika vita yoyote ya baadaye

    Sayyid Hassan Nasrullah: Israel itashindwa vibaya na kufedheheka katika vita yoyote ya baadaye

    Aug 13, 2017 23:31

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa, kushindwa na kufedheheka vitaukumba utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika vita yoyote ile itakayotokea, zaidi ya kushindwa kulikoukuta katika vita vya siku 33 vya mwaka 2006.

  • Jumatatu 07 Agosti, 2017

    Jumatatu 07 Agosti, 2017

    Aug 06, 2017 23:11

    Leo ni Jumatatu tarehe 14 Dhulqaada 1438 Hijria inayosadifiana na tarehe 7 Agosti 2017.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS