-
Hizbullah: Marekani na EU zinazuia wakimbizi wa Syria kurejea nchini kwao
Jul 08, 2017 03:25Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani na Umoja wa Ulaya zimekuwa zikizuia wakimbizi wa Syria kurejea nchini kwao.
-
Iran yaendelea kufanya mashauriano kuhusu matukio yaliyojiri katika eneo
Jun 05, 2017 23:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Muhammad Javad Zarif, amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na mawaziri wa mambo ya nje wa Kuwait, Qatar, Lebanon, Algeria na Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya kuhusiana na matukio yanayoendelea kujiri katika eneo.
-
Jumanne, Juni 6, 2017
Jun 05, 2017 22:29Leo ni Jumanne mwezi 11 Ramadhani, 1438 Hijria mwafaka na tarehe 6 Juni 2017 Milaadia.
-
Maadhimisho ya siku ya ukombozi wa kusini mwa Lebanon
May 26, 2017 02:37Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, kuna udharura wa kubakishwa hai na kurithishwa vizazi vijavyo mafanikio ya muqawama wa wananchi wa Lebanon katika mapambano yao na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Maadhimisho ya ushindi wa kukombolewa eneo la kusini mwa Lebanon kutoka kwenye makucha ya Israel
May 25, 2017 08:04Wakati Lebanon inaadhimisha mwaka wa 17 tangu eneo la kusini mwa nchi hiyo likombolewe kutoka kwenye makucha ya kukaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel, viongozi mbalimbali wa kijeshi na usalama wa nchi hiyo wamesisitizia ulazima wa kusimama imara na kukabiliana kwa wakati mmoja na Wazayuni na Wakufurishaji.
-
Hizbullah: Mgomo wa wafungwa wa Kipalestina, umewaumbua viongozi wa Kiarabu wanaojipendekeza kwa Israel
May 04, 2017 23:39Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa misimamo ya kishujaa iliyoonyeshwa na wafungwa wa Kipalestina walioko katika jela za kutisha za Israel katika kutetea matukufu ya taifa lao la Palestina, ni sauti ya muqawama wa kukabiliana na wavamizi wa Kizayuni.
-
Hizbullah: Israel itashindwa vibaya zaidi katika vita vipya
Apr 21, 2017 03:06Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesema kuwa, uwezo wake wa kijeshi ni jambo ambalo limeuzuia utawala haramu wa Israel kuanzisha hujuma na mashambulizi mapya dhidi ya nchi hiyo.
-
Alkhamisi, 13 Aprili, 2017
Apr 12, 2017 22:50Leo ni Alkhamisi tarehe 15 Rajab 1438 Hijria, sawa na Aprili 13, 2017.
-
Jumatatu, 10 Aprili, 2017
Apr 09, 2017 23:07Leo ni Jumatatu tarehe 12 Rajab 1438 Hijria sawa na 10 Aprili 2017.
-
Hatua chanya za Lebanon katika njia ya kurejesha uthabiti wa kisiasa
Mar 29, 2017 08:03Hatua ya nne chanya ya kisiasa nchini Lebanon inasubiri kupitishwa na bunge la nchi hiyo.