Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Jeshi la Lebanon: Ayatullah Rafsanjani alikuwa akihami Lebanon na Palestina

    Jeshi la Lebanon: Ayatullah Rafsanjani alikuwa akihami Lebanon na Palestina

    Jan 12, 2017 12:15

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Lebanon amesema kuwa, marehemu Ayatullah Hashemi Rafsanjani, Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Iran, alikuwa daima akichukua misimamo ya heshima katika kuihami Lebanon na Palestina katika kukabiliana na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Rais wa Lebanon apongeza nafasi ya Iran katika eneo

    Rais wa Lebanon apongeza nafasi ya Iran katika eneo

    Dec 24, 2016 04:19

    Rais Michel Aoun wa Lebanon amepongeza na kusifu nafasi ya Iran katika eneo la Mashariki ya Kati na kubainisha kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imechangia pakubwa kupatiwa ufumbuzi migogoro mbalimbali katika eneo.

  • Lebanon yatangaza baraza jipya la mawaziri linaoongozwa na Hariri

    Lebanon yatangaza baraza jipya la mawaziri linaoongozwa na Hariri

    Dec 19, 2016 03:55

    Lebanon imetangaza baraza jipya la mawaziri linaloongozwa na Waziri Mkuu, Saad al-Hariri, wiki 6 baada ya kuchaguliwa Rais Michel Aoun.

  • Mufti wa Lebanon ataka ulimwengu uunge mkono kadhia ya Palestina

    Mufti wa Lebanon ataka ulimwengu uunge mkono kadhia ya Palestina

    Dec 11, 2016 04:32

    Mufti mkuu wa Lebanon ametoa wito kwa walimwengu kuunga mkono kadhia ya Palestina.

  • Nasrullah azitaka nchi zote ziungane kukabiliana na tishio la Daesh

    Nasrullah azitaka nchi zote ziungane kukabiliana na tishio la Daesh

    Dec 10, 2016 03:50

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kwa kusema: "Njia pekee iliyoko mbele yetu ni kuulinda ustaarabu wa Kiislamu, eneo na uwepo wetu kwa kukabiliana na ugaidi".

  • Zarif: Kadhia ya Palestina ndio suala kuu kwa Ulimwengu wa Kiislamu

    Zarif: Kadhia ya Palestina ndio suala kuu kwa Ulimwengu wa Kiislamu

    Nov 08, 2016 12:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Muhammad Javad Zarif amesema kadhia ya Palestina ndio suala kuu kwa Ulimwengu wa Kiislamu.

  • Zarif: Muqawama umesambaratisha njama za magaidi Lebanon

    Zarif: Muqawama umesambaratisha njama za magaidi Lebanon

    Nov 08, 2016 04:00

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema harakati za kimuqawama ndizo zimesambaratisha njama za maadui na magaidi nchini Lebanon.

  • Vipaumbele vya Rais mpya wa Lebanon

    Vipaumbele vya Rais mpya wa Lebanon

    Nov 08, 2016 00:45

    Rais Michel Aoun wa Lebanon ametangaza vipaumbele na masuala atakayoyapa umuhimu wa kwanza wakati wa kipindi cha miaka sita ya uongozi katika hotuba yake ya kwanza aliyotoa katika Ikulu ya Ba'abda mjini Beirut.

  • Rais Michel Aoun ataka kuimarishwa ushirikiano zaidi baina ya Lebanon na Syria

    Rais Michel Aoun ataka kuimarishwa ushirikiano zaidi baina ya Lebanon na Syria

    Nov 07, 2016 13:47

    Rais mpya wa Lebanon, Michel Aoun amesisitiza juu ya udharura wa kupanuliwa uhusiano wa pande mbili baina ya nchi yake na Syria.

  • Rais wa Lebanon amteua Saad Hariri kuwa Waziri Mkuu na kumtaka aunde serikali

    Rais wa Lebanon amteua Saad Hariri kuwa Waziri Mkuu na kumtaka aunde serikali

    Nov 03, 2016 12:55

    Rais Michel Aoun wa Lebanon amemteua Saada Hariri, kiongozi wa harakati ya al-Musatqbal kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS