Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Nabil Qaouk: Saudia hawauwezi muqawama wa Lebanon

    Nabil Qaouk: Saudia hawauwezi muqawama wa Lebanon

    Jun 13, 2016 22:01

    Naibu wa Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Saudi Arabia haiwezi kuushinda nguvu muqawama wa Lebanon.

  • Marekani yashinikiza kufungwa akaunti 3,000 zaidi za 'Hizbullah'

    Marekani yashinikiza kufungwa akaunti 3,000 zaidi za 'Hizbullah'

    Jun 11, 2016 03:26

    Zaidi ya akaunti 3,000 za benki za watu wanaoaminika kuwa na mafungamano na harakati ya Hizbullah ya Lebanon zinatazamiwa kufungwa karibuni hivi, kufuatia mashinikizo ya Marekani.

  • Radiamali mbalimbali kuhusu kimya cha nchi za Kiarabu mbele ya jinai za Israel

    Radiamali mbalimbali kuhusu kimya cha nchi za Kiarabu mbele ya jinai za Israel

    Jun 08, 2016 01:40

    Harakati ya Hizbullahi ya Lebanon imelaani kimya cha nchi za Kiarabu mbele ya jinai za Wazayuni na kusema kukwa, kimya hicho ni mkamilishaji wa siasa za kuwa na uhusiano wa kawaida kati ya nchi hizo na Israel.

  • Frangieh: Marekani haina uwezo wa kuidhoofisha Hizbullah

    Frangieh: Marekani haina uwezo wa kuidhoofisha Hizbullah

    May 27, 2016 23:17

    Mkuu wa harakati ya el Marada ya Lebanon amesema kuwa, vikwazo vya kifedha vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Hizbullah haviwezi kuidhoofisha harakati hiyo ya muqawama wa Kiislamu.

  • Sayyid Nasrullah: Israel ingali tishio kuu kwa eneo la M/Kati

    Sayyid Nasrullah: Israel ingali tishio kuu kwa eneo la M/Kati

    May 25, 2016 11:58

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio tishio kuu kwa usalama na amani ya eneo hili.

  • Sheikh Naeem Qassim: Muqwama wa Lebanon umejiweka tayari kukabiliana na Israel

    Sheikh Naeem Qassim: Muqwama wa Lebanon umejiweka tayari kukabiliana na Israel

    May 25, 2016 03:01

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa harakati hiyo ya muqawama iko tayari kikamilifu kukabiliana na vitisho na uvamizi unaoweza kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Jumanne, Mei 24, 2016

    Jumanne, Mei 24, 2016

    May 23, 2016 23:21

    Leo ni Jumanne 17 Shaaban mwaka 1437 Hijria mwafaka na tarehe 24 Mei mwaka 2016 Miladia.

  • Nasrallah ampongeza kamanda wa Hizbullah aliyeuawa Syria

    Nasrallah ampongeza kamanda wa Hizbullah aliyeuawa Syria

    May 20, 2016 23:25

    Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah Sayyed Hassan Nasrallah amempongeza kamanda mwandamizi wa harakati hiyo ya muqawama, Shahidi Mustafa Badreddine aliyeuawa Syria wiki jana na kusema alikuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya Israel.

  • Nabih Berri apendekeza mpango wa kuinasua Lebanon kwenye mkwamo wa kisiasa

    Nabih Berri apendekeza mpango wa kuinasua Lebanon kwenye mkwamo wa kisiasa

    May 19, 2016 23:36

    Spika wa Bunge la Lebanon amependekeza mpango wa vipengee vitatu kwa lengo la kuinasua nchi hiyo kwenye mkwamo wa kisiasa wa kubaki bila ya kuwa na Rais kwa takribani miaka miwili sasa.

  • Hizbullah yapongeza juhudi za Iran za kusuluhisha matatizo ya eneo

    Hizbullah yapongeza juhudi za Iran za kusuluhisha matatizo ya eneo

    May 16, 2016 02:19

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amepongeza sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kupambana na ugaidi sambamba na jitada zake za kuzipatia ufumbuzi changamoto zinazolikabili eneo hili la Mashariki ya Kati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS