• Mazungumzo ya Tunis na makubaliano ya kuitisha uchaguzi nchini Libya

    Mazungumzo ya Tunis na makubaliano ya kuitisha uchaguzi nchini Libya

    Nov 12, 2020 22:04

    Mazungumzo baina ya pande mbalimbali za Libya yanaendelea Tunis, mji mkuu wa Tunisia kwa kusimamiwa na Umoja wa Mataifa. Lengo la mazungumzo hayo ni kuleta amani ya kudumu katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika. Taarifa za karibuni kabisa zinasema kuwa, washiriki wa mazungumzo hayo wamefikia makubaliano ya kuitisha uchaguzi nchini Libya katika kipindi kisichopindukia miezi 18 ijayo.

  • UN yazipongeza pande hasimu Libya kwa kuafikiana kufanyika uchaguzi

    UN yazipongeza pande hasimu Libya kwa kuafikiana kufanyika uchaguzi

    Nov 12, 2020 04:00

    Umoja wa Mataifa umepongeza hatua ya pande hasimu za kisiasa nchini Libya kukubaliana kuitisha uchaguzi mkuu nchini humo katika kipindi cha miezi 18 ijayo.

  • Haftar aamua kuvunja makundi ya wanamgambo mkoani Benghazi

    Haftar aamua kuvunja makundi ya wanamgambo mkoani Benghazi

    Nov 09, 2020 01:12

    Kundi linalojiiita jeshi la kitaifa la Libya linaloongozwa na Khalifa Haftar limetangaza kuwa limeandaa mpango wa kuyavunja makundi yenye silaha na kuondoka katika makazi yake katika mkoa wai Benghazi nchini humo.

  • Makaburi zaidi ya umati yagunduliwa Libya

    Makaburi zaidi ya umati yagunduliwa Libya

    Nov 08, 2020 04:29

    Miili ya watu 17 imegunduliwa katika kaburi la umati huko magharibi mwa Libya, mkoani Tarhuna, na hivyo kufanya jumla ya miili iliyofukuliwa katika miezi ya hivi karibuni kufikia 112.

  • Wafanyakazi wa Sudan nchini UAE wanahadaiwa kuingia vitani Libya

    Wafanyakazi wa Sudan nchini UAE wanahadaiwa kuingia vitani Libya

    Nov 06, 2020 07:13

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limefichua kuwa mamia ya raia wa Sudan wanaofanya kazi katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wamehadaiwa kuingia vitani Libya na kujiunga na wanamgambo wa jenerali muasi Khalifa Haftar.

  • UN: Mazungumzo ya amani Libya yanaendelea kwa mafanikio huko Ghadames

    UN: Mazungumzo ya amani Libya yanaendelea kwa mafanikio huko Ghadames

    Nov 03, 2020 05:23

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa mazungumzo ya pande hasimu nchini Libya yanayoendelea katika mji wa Ghadames ulioko kusini magharibi mwa nchi hiyo yamepiga hatua kubwa katka njia ya kufikia makubaliano juu ya utekelezaji wa mapatano ya kusitisha vita yaliyotiwa saini wiki kadhaa zilizopita.

  • HRW: Imarati imetuma mamia ya vijana wa Kisudan kupigana vita Libya

    HRW: Imarati imetuma mamia ya vijana wa Kisudan kupigana vita Libya

    Nov 02, 2020 23:16

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch lenye makao yake makuu mjini New York nchini Marekani limetangaza kuwa, kampuni ya huduma za ulinzi na usalama ya Black Shield ya Imarati iliajiri karibu vijana 270 za Kisudani kwa ajili ya kufanya kazi za ulinzi katika Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) lakini vijana hao walijikuta wakitumwa Libya kwenda kupigana katika safu za jenerali muasi, Khalifa Haftar.

  • Libya yamtaka Rais wa Ufaransa awaombe radhi Waislamu kwa kumvunjia heshima Mtume (saw)

    Libya yamtaka Rais wa Ufaransa awaombe radhi Waislamu kwa kumvunjia heshima Mtume (saw)

    Oct 30, 2020 03:10

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa nchini Libya imelaani matamshi yaliyotolewa na Rais Emanuel Macron wa Ufaransa akimvunjia heshima Mtume wa Mwenyezi Mungu, Muhammad (saw) na kumtaka awaombe radhi Waislamu

  • Libya yamtaka Macron awaombe radhi Waislamu duniani

    Libya yamtaka Macron awaombe radhi Waislamu duniani

    Oct 26, 2020 23:43

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya imelaani matamshi ya rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ya kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW na Uislamu na kumtaka afanye haraka kuwaomba radhi Waislamu duniani.

  • Wahamiaji 11 akiwemo mjamzito wafa maji Libya wakielekea Ulaya

    Wahamiaji 11 akiwemo mjamzito wafa maji Libya wakielekea Ulaya

    Oct 26, 2020 08:10

    Wahajiri 11 akiwemo mwanamke mjamzito wamefariki dunia katika Bahari ya Mediterania baada ya boti yao kuzama, huko pwani ya Libya.