-
Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yatwaa ngome kuu ya Haftar magharibi mwa Libya
Jun 05, 2020 12:37Jeshi la Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya limetangaza kuwa limetwaa ngome kuu ya mwisho ya wapiganaji wa jenerali muasi, Khalif Haftar huko magharibi mwa Libya.
-
Khalifa Haftar aainisha masharti kwa ajili ya kuanza mazungumzo huko Libya
Jun 05, 2020 02:50Kamanda wa kundi kwa jina la jeshi la kitaifa la Libya ameainisha masharti ili kufanya mazungumzo na serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo.
-
Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yadhibiti kikamilifu mji wa Tripoli
Jun 04, 2020 12:11Serikali ya Umoja wa Kitaifa nchini Libya imetangaza kwamba imefanikiwa kuudhibiti kikamilifu mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli na kufurusha mabaki ya wapiganaji wa jenerali muasi, Khalifa Haftari.
-
Safari ya Jenerali Haftar nchini Misri
Jun 04, 2020 07:49Kamanda wa kundi linalojiita Jeshi la Kitaifa la Libya yuko mjini Cairo Misri, kwa lengo la kuonana na kuzungumza na viongozi wa nchi hiyo.
-
Wapiganaji wa Haftar: Uturuki imetuma vifaru nchini Libya
Jun 03, 2020 04:35Wanamgambo wanaoongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar nchini Libya wamesema kwamba meli moja ya mizigo kutoka Uturuki imeshusha vifaru visivyojulikana idadi yake aina ya M60 kwa ajili ya serikali ya wokovu wa kitaifa ya nchi hiyo.
-
Duru mpya ya mazungumzo Libya kwa ajili ya kurejesha amani nchini humo
Jun 02, 2020 11:34Vita vya ndani vingali vinaendelea nchini Libya na makundi mawili makuu hasimu yamekuwa yakitwaa na kufukuzwa katika maeneo ya kistratijia kwa zamu. Hali hiyo pia imezidisha uingiliaji kati ya nchi za kigeni katika masuala ya ndani ya Libya.
-
Algeria: Tutaendelea na upatanishi hadi kutatuliwa mzozo wa Libya
Jun 02, 2020 07:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amesema kuwa, nchi yake itaendeleza juhudi za kupunguza mizozo na kuzikinaisha pande nyingine nchini Libya ili zishiriki mazungumzo ya kisiasa ya kutatua mzozo wa nchi hiyo.
-
Kaburi la umati lagunduliwa kusini mwa Libya
Jun 02, 2020 02:30Wizara ya Mambo ya Ndani ya Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya imetangaza kuwa imegundua kaburi la umati katika eneo lililokombolewa kutoka kwa wapiganaji wanaoongozwa na jenerali muasi, Khalifa Haftar.
-
Watunisia wapinga kuwepo kijeshi Marekani nchini kwao
Jun 01, 2020 07:46Hatua ya vyama mbalimbali nchini Tunisia kupinga uwepo wa wanajeshi wa Marekani nchini humo imeipelekea washington iachane na msimamo wake katika uwanja huo.
-
UN yataka kufanyika uchunguzi wa mauaji ya wahajiri 30 Libya
May 30, 2020 08:13Umoja wa Mataifa umetoa mwito wa kufanyika uchunguzi wa mauaji ya makumi ya wahajiri huko nchini Libya.