Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Serikali ya mwafaka wa kitaifa ya Libya yataka kukatwa uhusiano na Imarati

    Serikali ya mwafaka wa kitaifa ya Libya yataka kukatwa uhusiano na Imarati

    May 16, 2020 11:02

    Mjumbe wa Baraza la Rais la Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa nchini Libya, sambamba na kuashiria ripoti ya siri ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na uungaji mkono wa Imarati kwa jenerali muasi Khalifa Haftar, ametaka kukatwa uhusiano wa Tripoli na Abu Dhabi.

  • Kupamba moto mgogoro Libya na uingiliaji wa maajinabi katika masuala ya ndani ya nchi hiyo

    Kupamba moto mgogoro Libya na uingiliaji wa maajinabi katika masuala ya ndani ya nchi hiyo

    May 13, 2020 11:44

    Mapigano ya ndani nchini Libya yamepamba moto hivi sasa na kutoa fursa kwa madola ajinabi yanayojali maslahi yao binafsi tu, kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo.

  • Onyo la Uturuki dhidi ya vikosi vyenye mfungamano na Saudi Arabia nchini Libya

    Onyo la Uturuki dhidi ya vikosi vyenye mfungamano na Saudi Arabia nchini Libya

    May 12, 2020 10:07

    Uwepo wa kijeshi wa Uturuki nchini Libya na vita vya niaba vya Ankara dhidi ya baadhi ya madola ya Kiarabu yenye fikra mgando kama Saudi Arabia, kumeshadidisha matatizo ya serikali ya Recep Tayyip Erdogan barani Afrika.

  • Uturuki: Taarifa ya nchi tano dhidi yetu imetumia vipimo vya kiundumakuwili

    Uturuki: Taarifa ya nchi tano dhidi yetu imetumia vipimo vya kiundumakuwili

    May 12, 2020 07:40

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imesema, taarifa ya pamoja iliyotolewa na Misri, Ugiriki, Imarati, Ufaransa na Cyprus kuhusu Bahari ya Mediterania inaonyesha vipimo vya kiundumakuwili vinavyotumiwa na nchi hizo.

  • Spika wa Bunge la Libya: Khalifa Haftar hatokuwa mshirika wetu wa kisiasa hapo baadaye

    Spika wa Bunge la Libya: Khalifa Haftar hatokuwa mshirika wetu wa kisiasa hapo baadaye

    May 12, 2020 02:41

    Spika wa bunge la Libya amebainisha kwamba, serikali ya Tripoli haimtambui Jenerali Khalifa Haftar kuwa mshirika wake wa kisiasa wa baadaye.

  • Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya: Tumekiharibu kikamilifu kituo cha anga cha Haftar

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya: Tumekiharibu kikamilifu kituo cha anga cha Haftar

    May 11, 2020 08:08

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya (GNA) imetangaza kuwa, mashambulio ya anga yaliyofanywa na vikosi vyake yamekiharibu kikamilifu kituo cha anga cha vikosi vinavyoongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar.

  • Tunisia yaisaidia Uturuki kufikisha misaada Libya

    Tunisia yaisaidia Uturuki kufikisha misaada Libya

    May 09, 2020 00:00

    Serikali ya Tunisia imeiruhusu ndege ya Uturuki ambayo inasemekana ilikuwa na misaada ya kitiba kwa ajili ya Libyan itue nchini humo.

  • Wanamgambo wa Haftar waendelea kudondosha mabomu na kuua raia Libya

    Wanamgambo wa Haftar waendelea kudondosha mabomu na kuua raia Libya

    May 08, 2020 08:13

    Wanamgambo wanaojiita Jeshi la Taifa la Libya wanaoogozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar wameendelea kutekeleza mashambulizi mtawalia ya mabomu katika mji mkuu Tripoli, licha ya janga la corona na mwezi mtukufu wa Ramadhani.

  • Guterres aelezea hofu yake kutokana kushiriki mamluki katika vita Libya

    Guterres aelezea hofu yake kutokana kushiriki mamluki katika vita Libya

    May 07, 2020 13:05

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameelezea hofu kubwa aliyo nayo kutokana na kutumiwa mamluki katika vita vya Libya.

  • Wanamgambo wa Haftar: Tumeua askari 40 wa Serikali ya Libya

    Wanamgambo wa Haftar: Tumeua askari 40 wa Serikali ya Libya

    May 06, 2020 07:52

    Wanamgambo wanaojiita Jeshi la Taifa la Libya wanaoogozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar wanadai wametekeleza operesheni kali iliyoua askari 40 wa Jeshi la Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa inayoongozwa na Waziri Mkuu, Fayez al-Sarraj.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS