-
Mwito wa UN wa kuanza tena mazungumzo ya amani Libya
May 04, 2020 06:22Mapigano nchini Libya yanaendelea katika hali ambayo Umoja wa Mataifa kwa muda mrefu sasa umekuwa ukihimiza kukomeshwa mapigano na kuunganishwa nguvu katika kukabiliana na ugonjwa hatari wa corona katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika iliyoiathiriwa vibaya na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
-
Algeria: Utatuzi wa mgogoro wa Libya bila kutushirikisha sisi, ni jambo lisilowezekana
May 02, 2020 11:08Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria sambamba na kusisitizia nafasi ya nchi yake katika utatuzi wa mzozo wa Libya amesema kuwa, katika kukaribia kupatiwa njia za ufumbuzi mgogoro wa Libya na kuanza kwa mwenendo wa kisiasa, serikali ya Algiers imekuwa ikishiriki katika mwenendo huo.
-
Jeshi la Libya lashambulia wanamgambo wa jenerali muasi Khalifa Haftar
May 02, 2020 07:43Jeshi la Anga la Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya ambayo inatambuliwa kimataifa limeshambulia basi moja lililokuwa limebeba wanagambo wa jenerali muasi Khalifa Haftar, kusini mwa Tripoli, mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Tunisia yapinga njama za kuigawa vipande vipande Libya
May 01, 2020 13:45Rais wa Tunisia kwa mara nyingine tena ametangaza kuwa nchi yake itaendelea kupinga njama zozote za kujaribu kuigawa vipande vipande nchi jirani ya Libya.
-
Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya yakataa usitishaji vita wa Khalifa Haftar
May 01, 2020 08:08Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya imekataa usitishaji vita wa upande mmoja wa jenerali muasi Khalifa Haftar anayewaongoza wanamgambo wanaojiita Jeshi la Kitaifa la Libya.
-
HRW: Shambulizi la 'drone' ya Imarati liliua raia 8 Tripoli, Libya
Apr 30, 2020 08:08Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema shambulizi la ndege isiyo na rubani ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) dhidi ya mji mkuu wa Libya, Tripoli mwishoni mwa mwaka jana liliua na kujeruhi raia wasio na hatia.
-
Russia: Hatulitambui tangazo la serikali ya Haftar nchini Libya
Apr 30, 2020 02:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, serikali ya Moscow haikubali utawala wa kujitwika wa kiongozi wa wanamgambo wanaojiita 'Jeshi la Kitaifa la Libya' nchini humo.
-
Msimamo wa Umoja wa Mataifa wa kukataa kuitambua serikali ya Libya aliyojitangazia Haftar
Apr 30, 2020 02:36Kufuatia hatua ya Jenerali muasi Khalifa Haftar ya kukiuka mapatano ya Skhirat na kujitangazia serikali nchini Libya, Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa unaitambua rasmi tu Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa (GNA) yenye makao yake Tripoli.
-
Makabila ya Muammar al-Gaddafi na Aguila Saleh yapinga tangazo la Haftar kuwa yeye ndiye mtawala wa Libya
Apr 29, 2020 16:39Duru za kieneo pamoja na bunge lenye makao yake mjini Tobruk zimemwandikia barua jenerali muasi, Khalifa Haftar, zikitangaza upinzani wao kwa hatua yake ya kujitangaza kuwa yeye ndiye mtawala wa Libya.
-
Umoja wa Mataifa wakataa kuitambua serikali ya Libya aliyojiundia Haftar
Apr 29, 2020 03:02Umoja wa Mataifa umetangaza msimamo wake kuhusu hatua aliyochukua jenerali muasi wa Libya Khalifa Haftar ya kujitangaza mtawala wa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, unayoitambua umoja huo ni Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa (GNA) pekee na si mtu mwingine yeyote.